Zambia yabadilisha uniform za jeshi la Polisi

Hii sare itakuwa ni ya kipekee duniani kote.
 
Hii topic usije kuta leo ni April mosi kwamba all members in this topic they're fool isipokuwa mimi!.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Umejua kunichekesha Walahi na swaumu hii

Nilifikiri bonge la uniform niliposhuka chini daah!

Nikajisemea hawa ni wafungwa ama.

Hapo wafungwa wanatoroka kirahisi sana maana watafanana
Dah! Utafikiri mamba wamepakwa rangi,
 
Mbayaaaa[emoji2][emoji2][emoji3526]
 
Teh πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Africa bhana....
 
Siasa nyingi Santa mpk wanaharibu KAZI,anyway hiyo ndo Zambia ya vituko simu zote
 
Kuna nguo moja alishaivaaga fally ipupa sijui ndo kaiga hyo
 
Hata hazipendezi sare gani kama wacheza show wa muziki wa rhumba!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…