Kwa kauli kama hizo za Kabudi na Butiku kuna muda unakuja ambapo zitazusha vurugu kubwa sana.Huwezi kuwadanganya watu wote,tena muda wote wakakuangalia tu.Miafrika huwa haiwezi kujiongoza bila kuswagwa kama mifugo. Angalia mtu kama Kabudi hivi majuzi anatuambia Rais wa Kizimkazi ameletwa na Mungu hivyo tumpende na tumheshimu, na huyu ni kiongozi wa nchi mojawapo hapa Afrika tena anajiita msomi kutoka chuo kimoja kikubwa cha jalalani, Bara la Afrika ni lazima litegemee machafuko hadi kizazi kile cha wachumia tumbo na machawa kipite.......
Tuiombee Zambia! One Zambia, One Nation. 🤔
Huku kwetu TBC Wangekuwa wanatangaza matokeo vizuri tu huku watu wanakula shaba na hapohapo mtu anaibuka mshindi 98%! 🫡🫡🫡Zambia imesitisha zoezi la kuhesabu kura kote nchini leo Ijumaa kufuatia ripoti za vurugu katika baadhi ya maeneo. Afisa mkuu wa uchaguzi Brown Kasaro amesema "Ghasia hizo zinawalenga wafanyakazi wa uchaguzi, na katika baadhi ya matukio zimesababisha wizi wa karatasi za kura kwenye masanduku ya kura".
Ameongeza kuwa tume hiyo itatathmini upya uamuzi wa kusitishwa zoezi hilo ndani ya saa 24. Taifa hilo lenye utajiri wa shaba kusini mwa Afrika lilipiga kura Alhamisi katika uchaguzi ulioangazia zaidi hali ngumu ya kiuchumi.
Soma pia:Zoezi la kuhesabu kura linaendelea nchini zambia
Rais Hakainde Hichilema, ambaye amekuwa madarakani tangu 2021, alikabiliana na Brian Mundubile, waziri wa zamani mwenye umri wa miaka 55 katika serikali iliyopita ya Patriotic Front (PF). Mundubile amedai kushinda, huku Hichilema akisema timu yake inapokea "matokeo ya kutia moyo".
Source: DW Swahili
Hichilema kamteua shosti wake, ambaye alikuwa ni mwanasheria wake awe mwenyekiti wa tume ya uchaguzi. Huu ni mgongano wa kimaslahiZambia imesitisha zoezi la kuhesabu kura kote nchini leo Ijumaa kufuatia ripoti za vurugu katika baadhi ya maeneo. Afisa mkuu wa uchaguzi Brown Kasaro amesema "Ghasia hizo zinawalenga wafanyakazi wa uchaguzi, na katika baadhi ya matukio zimesababisha wizi wa karatasi za kura kwenye masanduku ya kura".
Ameongeza kuwa tume hiyo itatathmini upya uamuzi wa kusitishwa zoezi hilo ndani ya saa 24. Taifa hilo lenye utajiri wa shaba kusini mwa Afrika lilipiga kura Alhamisi katika uchaguzi ulioangazia zaidi hali ngumu ya kiuchumi.
Soma pia:Zoezi la kuhesabu kura linaendelea nchini zambia
Rais Hakainde Hichilema, ambaye amekuwa madarakani tangu 2021, alikabiliana na Brian Mundubile, waziri wa zamani mwenye umri wa miaka 55 katika serikali iliyopita ya Patriotic Front (PF). Mundubile amedai kushinda, huku Hichilema akisema timu yake inapokea "matokeo ya kutia moyo".
Source: DW Swahili
Mbaya zaidi unaowadanganya ni madume rijali, hatari sanaKwa kauli kama hizo za Kabudi na Butiku kuna muda unakuja ambapo zitazusha vurugu kubwa sana.Huwezi kuwadanganya watu wote,tena muda wote wakakuangalia tu.
Bora tume yao imekuwa wazi kuwa vurugu zimeibuka hivyo uchaguzi kusitishwa sio huku tunaambiwa hapakuwa na vurugu wakati wa uchaguzi Bali ziliibuka wakati kura zimeshapigwa.Zambia imesitisha zoezi la kuhesabu kura kote nchini leo Ijumaa kufuatia ripoti za vurugu katika baadhi ya maeneo. Afisa mkuu wa uchaguzi Brown Kasaro amesema "Ghasia hizo zinawalenga wafanyakazi wa uchaguzi, na katika baadhi ya matukio zimesababisha wizi wa karatasi za kura kwenye masanduku ya kura".
Ameongeza kuwa tume hiyo itatathmini upya uamuzi wa kusitishwa zoezi hilo ndani ya saa 24. Taifa hilo lenye utajiri wa shaba kusini mwa Afrika lilipiga kura Alhamisi katika uchaguzi ulioangazia zaidi hali ngumu ya kiuchumi.
Soma pia:Zoezi la kuhesabu kura linaendelea nchini zambia
Rais Hakainde Hichilema, ambaye amekuwa madarakani tangu 2021, alikabiliana na Brian Mundubile, waziri wa zamani mwenye umri wa miaka 55 katika serikali iliyopita ya Patriotic Front (PF). Mundubile amedai kushinda, huku Hichilema akisema timu yake inapokea "matokeo ya kutia moyo".
Source: DW Swahili
2030 itakuwa zaidi. Maana badala ya kuboresha anazidi boronga.At least busara imetumika, Tanzania waliwaua ndugu zetu
Hichilema alikuwa mbovu tangu aingie madarakani. Ni sawa na Lazarus Chakwera yule aliyeshindwa uchaguzi mwaka jana. Chakwera na Hichilema wote walikuwa wapinzani. Wakaingia madarakaki wakawa mbumbumbu watupu.Huyu Hichelama si alipitia shida hizo hizi? Mbn anarudia Sasa au anakomoa?
Chakwera sio Malawi?Hichilema alikuwa mbovu tangu aingie madarakani. Ni sawa na Lazarus Chakwera yule aliyeshindwa uchaguzi mwaka jana. Chakwera na Hichilema wote walikuwa wapinzani. Wakaingia madarakaki wakawa mbumbumbu watupu.