Zambia yasitisha uhesabuji wa kura kutokana na vurugu

Chakwera sio Malawi?
Alikuwa Malawi ndio aliongoza term moja na kushindwa tena uchaguzi. Yeye ndio alikuwa mbovu zaidi, Katibu Mkuu wa kanisa la 'TAG' ya kule kwao, alikuwa Rais mbumbumbu kupindukia. Maofisa wa juu mashemeji na watu wa kabila lake na wakwe, Mawaziri wake mizigo. Hajui siasa, hajui uongozi amezoea sadaka na kuburuza watu kanisani.
 
Hahahaha, Dah,
 
Tatizo ni uchu wa madaraka tu hakuna lolote hapo, viongozi wa Kiafrika wana mitazamo ya ajabu sana. Mtu anajiaminisha akishakuwa madarakani hatoki na akitoka anaacha mfumo wake mgumu utakaowasumbua wafuatizi wake ili kulinda maslahi yake na timu yake.

Kiongozi akistaafu anakuwa kivuli kinachoishi "backbencher" msumbufu. Wazee wenzangu hatajwi mtu jina hapa ila tunamkumbuka Yuleee... aliyemwambia mgombea fulani asubirie kwanza kwa sababu anaonekana mdogo licha ya mgombea huyo kupendwa sana wakati huo? ( Mgombea huyo alitii kauli ya Yuleee...) Haya mambo siyo mapya sana kama tunavyofikiri.
 
Mambo ni yaleyale tume za kimkakati kwa maslahi ya watawala na kivuli kiitwacho uchaguzi kuhadaa umma huku matokeo yakiwa yamepangwa nyuma ya meza

Ifike mahala nchi zetu hizi za dunia ya tatu ziheshimu kura ya mwananchi katika uchaguzi
Au chaguzi zisifanyike kabisa turudi kwenye tawala za kifalme, kwa sababu chaguzi zetu ni kama uharibifu wa fedha na muda.
 
Tanzania is exporting its lunaticism to Zambia to spoil the election there the way it normally does in its country.

Let the Zambians not accept this lunacy and continue to uphold the fundamental principles of democracy based on justice and human rights.

Let Tanzania keep its hypocrisy.
 
Tatizo ni uchu wa madaraka tu hakuna lolote hapo, viongozi wa Kiafrika wana mitazamo ya ajabu sana. Mtu anajiaminisha akishakuwa madarakani hatoki na akitoka anaacha mfumo wake mgumu utakaowasumbua wafuatizi wake ili kulinda maslahi yake na timu yake.

Kiongozi akistaafu anakuwa kivuli kinachoishi "backbencher" msumbufu. Wazee wenzangu hatajwi mtu jina hapa ila tunamkumbuka Yuleee... aliyemwambia mgombea fulani asubirie kwanza kwa sababu anaonekana mdogo licha ya mgombea huyo kupendwa sana wakati huo? ( Mgombea huyo alitii kauli ya Yuleee...) Haya mambo siyo mapya sana kama tunavyofikiri.
Mzee yule alitumia tu neno "mdogo" ili kuwaambia huyu hatufai, watoto hatukuelewa ila baada ya kuja kuelewa baadaye niligundua kwanini mzee yule hakutaka mgombea mdogo.
 
Back
Top Bottom