hearly
JF-Expert Member
- Jun 19, 2014
- 54,381
- 80,393
Hana AkiliTangu Hichilema aje kwenye ule uapisho na kuongea shit. Simkubali Tena.
Hana AkiliTangu Hichilema aje kwenye ule uapisho na kuongea shit. Simkubali Tena.
😆Huku kwetu TBC Wangekuwa wanatangaza matokeo vizuri tu huku watu wanakula shaba na hapohapo mtu anaibuka mshindi 98%! 🫡🫡🫡
Nacheka kama mazuri 🤩Kaunda na Nyerere walitakiwa wafe mapema sana! Lile lilikuwa tatizo kubwa sana
Mlamba Asali kakaHuyu Hichelama si alipitia shida hizo hizi? Mbn anarudia Sasa au anakomoa?
Kwa kweliAu chaguzi zisifanyike kabisa turudi kwenye tawala za kifalme, kwa sababu chaguzi zetu ni kama uharibifu wa fedha na muda.
Tamaa ya mtu mweusi ni kubwa sanaNgozi imefanyaje Boss, inakuwa kama ni ubaguzi fulani "racism" ila wengi tuna matatizo sana nadhani ndiyo maana umesema hivyo,
"Kuna vitu tumevurugwa_ upstairs" na tunaona kama ni kawaida tu.
Kwenye kura,Africa tumelaaniwa