T14 Armata
JF-Expert Member
- Mar 7, 2017
- 13,924
- 47,173
Alikuwa Malawi ndio aliongoza term moja na kushindwa tena uchaguzi. Yeye ndio alikuwa mbovu zaidi, Katibu Mkuu wa kanisa la 'TAG' ya kule kwao, alikuwa Rais mbumbumbu kupindukia. Maofisa wa juu mashemeji na watu wa kabila lake na wakwe, Mawaziri wake mizigo. Hajui siasa, hajui uongozi amezoea sadaka na kuburuza watu kanisani.Chakwera sio Malawi?
Hahahaha, Dah,Alikuwa Malawi ndio aliongoza term moja na kushindwa tena uchaguzi. Yeye ndio alikuwa mbovu zaidi, Katibu Mkuu wa kanisa la 'TAG' ya kule kwao, alikuwa Rais mbumbumbu kupindukia. Maofisa wa juu mashemeji na watu wa kabila lake na wakwe, Mawaziri wake mizigo. Hajui siasa, hajui uongozi amezoea sadaka na kuburuza watu kanisani.
Au chaguzi zisifanyike kabisa turudi kwenye tawala za kifalme, kwa sababu chaguzi zetu ni kama uharibifu wa fedha na muda.Mambo ni yaleyale tume za kimkakati kwa maslahi ya watawala na kivuli kiitwacho uchaguzi kuhadaa umma huku matokeo yakiwa yamepangwa nyuma ya meza
Ifike mahala nchi zetu hizi za dunia ya tatu ziheshimu kura ya mwananchi katika uchaguzi
Kabisa, hakuna haja ya kufanya uchaguzi wa mabilioni huku tume za mchongo zikiwa na matokeo nyumba ya pazia, bora turudi tu kwenye tawala za kifalme, demokrasia haituiwezi.Au chaguzi zifosifanyike kabisa turudi kwenye tawala za kifalme, kwa sababu chaguzi zetu ni kama uharibifu wa fedha na muda.
Ngozi imefanyaje Boss, inakuwa kama ni ubaguzi fulani "racism" ila wengi tuna matatizo sana nadhani ndiyo maana umesema hivyo,Dah ngozi nyeusi banah
Uko sahihi mkuuSiku waafrika watakapochukulia uchaguzi kama kitu cha kawaida tofauti na sasa ambapo wagombea hasa wa vyama vilivyopo madarakani wanapochukulia uchaguzi kama kitu cha kufa na kupona ndipo Afrika itakapoanza kupiga hatua chanya kimaendeleo.
Wakiingia wanatengeneza "hegemony" wanataka waishi hivyo maisha yao yote.Uko sahihi mkuu
Matokeo yenyewe wanayatoa kwa mafungu.nani anaongoza apo lusaka?
Internet yao imekatwa???Nahisi Tanzania Wana mkono kwenye huu uchaguzi.
Wamekuwa siku nyingi, kipi kimeboreshwa? Hatujitambui!Kaunda na Nyerere walitakiwa wafe mapema sana! Lile lilikuwa tatizo kubwa sana
Mlevi wa Nyerere yule mkuu wa mkoa yuko madarakani, hadi leo,unatarajia niniWamekuwa siku nyingi, kipi kimeboreshwa? Hatujitambui!
Mzee yule alitumia tu neno "mdogo" ili kuwaambia huyu hatufai, watoto hatukuelewa ila baada ya kuja kuelewa baadaye niligundua kwanini mzee yule hakutaka mgombea mdogo.Tatizo ni uchu wa madaraka tu hakuna lolote hapo, viongozi wa Kiafrika wana mitazamo ya ajabu sana. Mtu anajiaminisha akishakuwa madarakani hatoki na akitoka anaacha mfumo wake mgumu utakaowasumbua wafuatizi wake ili kulinda maslahi yake na timu yake.
Kiongozi akistaafu anakuwa kivuli kinachoishi "backbencher" msumbufu. Wazee wenzangu hatajwi mtu jina hapa ila tunamkumbuka Yuleee... aliyemwambia mgombea fulani asubirie kwanza kwa sababu anaonekana mdogo licha ya mgombea huyo kupendwa sana wakati huo? ( Mgombea huyo alitii kauli ya Yuleee...) Haya mambo siyo mapya sana kama tunavyofikiri.