Robert Heriel Mtibeli
JF-Expert Member
- Mar 24, 2018
- 28,297
- 68,017
Swadakta hilo nalo nenoKuolewa wake wengi ni Dalili ya mwanamke asiyejitambua.
Wengine wawe Masuria mke ubaki pekee yako
Kwanini ?Kuolewa wake wengi ni Dalili ya mwanamke asiyejitambua.
Wengine wawe Masuria mke ubaki pekee yako
Mimi sijawahi kucheat...Chako pekeyako kina thamani ....ila huwez mzuia mwanaume kucheat
Kama unafamilia na hujawahi cheat ni vizuri....ila kama umetafuna watu afu wasome ulichoandika....aisee wanaregret kuchanua miguu Yao🚴🚴🚴Mimi sijawahi kucheat...
🤣🤣🤸Hatari sana...
Sina chochote na sijawahi kucheat pale napokua in a relationship...Kama unafamilia na hujawahi cheat ni vizuri....ila kama umetafuna watu afu wasome ulichoandika....aisee wanaregret kuchanua miguu Yao🚴🚴🚴
❤️🥰🤜Sina chochote na sijawahi kucheat pale napokua in a relationship...
Kutafuna watu ndiyo kukoje?
Usiamini kile kiandikwacho[emoji3590][emoji3059][emoji2936]
Namwelewa mtu wangu huyu,naenda nae taratibu....embu ngoja abanwe kwenye Kona na kina To yeye😜Usiamini kile kiandikwacho
Mimi pia mwanaume tunajifahamu mkuu
Ni kweli, hata tukioa sita sita, bado mtabakiMh! Huo ni uongoo
Jua halijazama nduguuSasa hvi jua limezama ndo unakumbuka shuka.
Ni kweliHaya tufahamishe
Umempata wa peke yako??!
HAKUNA huyo mwanaume
Kushare kunapunguza stress
Sio kila leoo kuunga maji ya kuoga na kupika three course..
Once in a while u get to relax
Ila yataka moyo
Mtarogana hadi mtie akili
Ni bora uliwe nje na mpangwe ila sio ndani halafu unatambua kuwa mpenzi wako amekupanga uvuliwe vyupi kila baada ya mwenzako hii unajua sio hujui . Eti ukubali kisa utapata stara my foot stara yanini kwanani. Unasitiriwa wee hapana hii sio vyema.Sasa mbona hata ukiwa peke yako lazima mtapangwa tu kuliwa. This world is not fair.