Zamu yangu leo hii kitu ilinishindaga

Zamu yangu leo hii kitu ilinishindaga

Kama unafamilia na hujawahi cheat ni vizuri....ila kama umetafuna watu afu wasome ulichoandika....aisee wanaregret kuchanua miguu Yao🚴🚴🚴
Sina chochote na sijawahi kucheat pale napokua in a relationship...
Kutafuna watu ndiyo kukoje?
 
Sasa hvi jua limezama ndo unakumbuka shuka.
 
Haya tufahamishe
Umempata wa peke yako??!

HAKUNA huyo mwanaume

Kushare kunapunguza stress
Sio kila leoo kuunga maji ya kuoga na kupika three course..

Once in a while u get to relax

Ila yataka moyo
Mtarogana hadi mtie akili
 
Haya tufahamishe
Umempata wa peke yako??!

HAKUNA huyo mwanaume

Kushare kunapunguza stress
Sio kila leoo kuunga maji ya kuoga na kupika three course..

Once in a while u get to relax

Ila yataka moyo
Mtarogana hadi mtie akili
Ni kweli
 
Sasa mbona hata ukiwa peke yako lazima mtapangwa tu kuliwa. This world is not fair.
Ni bora uliwe nje na mpangwe ila sio ndani halafu unatambua kuwa mpenzi wako amekupanga uvuliwe vyupi kila baada ya mwenzako hii unajua sio hujui . Eti ukubali kisa utapata stara my foot stara yanini kwanani. Unasitiriwa wee hapana hii sio vyema.

Ndoa ni ya mmoja nakitoka njee sio unajua nikwamba anaiba tu nafuu hiyo aisee.
 
Back
Top Bottom