Ndugu nakukumbusha tu, bado keshokutwa ni mwisho wa hizi ngonjera zenu.Hujaona udhalimu wa Awamu ya tano??? Mdude Nyangali, Nusrat Hanje, Tito Magoti, Eric Kabendera, Viongozi wa upinzani kubambikiwa makesi unaweza kusema ni nini hicho??
Amini nakwambia Magufuli ni Raisi Mstaafu kuanzia ijumaa wiki hii. Mark my Words. Mungu hadhiakiwi.Ndugu nakukumbusha tu, bado keshokutwa ni mwisho wa hizi ngonjera zenu.
Usikae nyuma ya wenzako ili urekodi na kutuma kwenye mitando, nenda front ili na wewe maiti yako ionyeshwe na wengineKuna hatari mitandao kuzimwa ili kuficha mauaji makubwa na kutisha kuanzia wakati wowote.
Umekula maharage ya wapi wewe,Amini nakwambia Magufuli ni Raisi Mstaafu kuanzia ijumaa wiki hii. Mark my Words. Mungu hadhiakiwi.
Me nipo tayari ndio nina elekea sehemu niliyo jiandikisha mkuu Liwalo na liweMwaka huu si Zanzibar si bara, wakileta upumbavu lazima kinuke kweli
Huwezi ficha uovu wa aina yeyote hata mitandao ikizimwa.Kuna hatari mitandao kuzimwa ili kuficha mauaji makubwa na kutisha kuanzia wakati wowote.
Civil war ipi!?Magufuli, kwa uwezo mdogo wa kiutawala aliouonyesha mpaka sasa, na kutotumia busara/hekima/demokrasia nk.bali kupenda ubabe/chuki na visasi, huenda akaingia katika historia ya kuwa rais atakayeiingiza nchi hii kwenye civil war.
Tuache this self righteous blunt!Mpaka sasa najiuliza kwa nini awamu hii imeamua kumwaga damu za watu kwa kiwango hicho?...
Na Nikioa dada yako nakuwa Mzanzibari au nabakia m'bara!? Wewe ukioa ufipani!?Wazanzibar wote tunajuana kwa sura, majina na mitaa tunayoishi. Wabara walioletwa Zanzibar kuja kuharibu uchaguzi wetu tunawatambua kirahisi mnoo. Nawapa angalizo hapa, Zanzibar sio mahali pa kufanyia mizaha.
Kinachosikitisha kwa wananchi wasojitambua,wanaamini wanapigana na viongozi direct,wanasahu wanapambana na wanachi wenzao.
Tz hapa nafikiri somo la Umuhimu wa Amani hatulijui vizuri,nafikiri watu wanatamani kulisoma hili somo kwa vitendo Sasa.
Safi sana. Na huu ndo Mwenda wetu mwaka huu. Nimekata ticketi kesho natoka Songea nakuja Dar kumpigia kura Lissu. Nilijiandikisha jimbo la ubungo mwaka 2015 na sikubadilishaMe nipo tayari ndio nina elekea sehemu niliyo jiandikisha mkuu Liwalo na liwe
Nani kakwambia tutajificha. Lazima Ccm mjue hamjui mwaka huu dadekiiiUm
Umekula maharage ya wapi wewe,
Mtajificha na mbelgiji wenu kwa aibu.
Hata 2015 mlijitafuna na mwisho mkatokomea.Nani kakwambia tutajificha. Lazima Ccm mjue hamjui mwaka huu dadekiii
Kwa kweli mnanata na beat!Wazanzibar tumejipanga vyema sana safari hii. Tunakwenda na mdundo, wakiweka Reggie tutacheza, wakiweka sebene tutacheza. Wakija na busara tutakwenda na busara, wakija na nguvu nasi tutakuja na nguvu vile vile. Ni tit for tat.
Hata wewe ukifanya upendeleo kwenye famili yako ipo siku utaambiwa ukweli,na ukiendelea wanao lazima wakufanyizieSawa..waache waendelee kutumia silaha zao duni za stone age.
Leo na kesho, Askari wa usalama wakianza kutumia chuma, serikali inaanza kuonekana ina matatizo na wananchi wake.
Wananchi Msijaribu kucheza na vyombo vya usalama na askari wake pasipo na sababu ya msingi.Tutawaumiza.
Kwa hiyo sekeseke unapata wapi muda wa ku-google? Hao Polisi wala hawakumbuki kama wamebeba android phones. Wanawaza kuokoa maisha Yao Kwanza. Kumbuka nao ni viumbe hai na wana familia.mitaa huhitaji kuijua siku hizi teknolojia ipo google map tu inakuonyesha kila kitu
Kabla ya kuwahukumu hao wananchi ni vema ungejiuliza kwanza chanzo cha hizo vurugu ni nini.Sawa..waache waendelee kutumia silaha zao duni za stone age.
Leo na kesho, Askari wa usalama wakianza kutumia chuma, serikali inaanza kuonekana ina matatizo na wananchi wake.
Wananchi Msijaribu kucheza na vyombo vya usalama na askari wake pasipo na sababu ya msingi.Tutawaumiza.
Kamtishe mama yako Wznz sio watu wakuwatishaMrusha mawe ukidakwa unashambulia vyombo vya ulinzi na usalama hiyo ni kesi ya ugaidi utaozea ndani shauri yako