Uchaguzi 2020 Zanzibar: Askari wanaolinda usalama wa watu na mali zao, washambuliwa kwa Mawe!

Uchaguzi 2020 Zanzibar: Askari wanaolinda usalama wa watu na mali zao, washambuliwa kwa Mawe!

ndugu zetu wazanzibari acheni fujo jamani, kwa nini upoteza maisha kwa ajili ya siasa?
 
Sawa..waache waendelee kutumia silaha zao duni za stone age.

Leo na kesho, Askari wa usalama wakianza kutumia chuma, serikali inaanza kuonekana ina matatizo na wananchi wake.

Wananchi Msijaribu kucheza na vyombo vya usalama na askari wake pasipo na sababu ya msingi.Tutawaumiza.
Vitisho hivi ndio mmevitumia miaka yote kuiba kura Sasa watanzania ndio hawaoni Nuru kupitia kura wanatumia short cut tutaheshimiana.
 
Sawa..waache waendelee kutumia silaha zao duni za stone age.

Leo na kesho, Askari wa usalama wakianza kutumia chuma, serikali inaanza kuonekana ina matatizo na wananchi wake.

Wananchi Msijaribu kucheza na vyombo vya usalama na askari wake pasipo na sababu ya msingi.Tutawaumiza.
Wazanzibar sio waoga hata kidogo kama ulikuwa hujui wao ni tofauti na watanganyika....

Jaribu kutembelea sikumoja Zanzibar utashuhudia jinsi walivyokuwa majasiri hasa Kwenye suala la kupigania UHURU wa nchi Yao
 
Sawa..waache waendelee kutumia silaha zao duni za stone age.

Leo na kesho, Askari wa usalama wakianza kutumia chuma, serikali inaanza kuonekana ina matatizo na wananchi wake.

Wananchi Msijaribu kucheza na vyombo vya usalama na askari wake pasipo na sababu ya msingi.Tutawaumiza.
Wewe mwoga endelea kukuta kachumbari waache wazanzibar waendelee kudai UHURU kamili wa nchi Yao
 
CCM fanyeni wizi bara huku sisi poa tu ila wa Zanzibari wapeni haki yao yakuamua sababu wako wachache wizi wa kura ni changamoto kidogo wanajuana. Waacheni wachague wanachotaka serikali ya muungano sababu imeshika wizara muhimu wala hakuna tatizo lakini tusivunje amani.

Miaka ile ya 90 fujo za Zanzibar kulikuwa hakuna simu leo zitapigwa picha zikianza kuzunguka social media zitaleta visasi na ugomvi ambao hautaweza kuamulika kwa nguvu itakuwa kama kuchochea moto ikiwa yale ya miaka ya 90 tu bado hawajasahau na wangekuwa na clip za wakati ule zingetumwa kila sehemu. Wakati umebadilika busara itumike, ni wazi CCM wamechokwa na zaidi Mwinyi hakubaliki hata ndani ya CCM.
 
CCM fanyeni wizi bara huku sisi poa tu ila wa Zanzibari wapeni haki yao yakuamua sababu wako wachache wizi wa kura ni changamoto kidogo wanajuana. waacheni wachague wanachotaka serikali ya muungano sababu imeshika wizara muhimu wala hakuna tatizo lakini tusivunje amani...
Hata Bara CCM hawashindi mwaka huu. Lolote liwe tu
 
Polisi ongezeni askari wasio na uniform mitaani hapo mbona ilikuwa rahisi tu kuwadaka hao watupa mawe sio lazima wadakwe wote mnakamata wachache tu katika wengi wanaotupa mawe halafu mnawabana korodani na koleo had I wakumbuke bibi zao waliofariki...
Zanzibar wanafahamiana. Polisi pia wana akili na wametumia busara sana kuondoka.
 
Jiulize pia Ghadafi amefaidika nini na udhalimu wake? Acheni udhalimu
Nyinyi Ni wajinga wachache ndani ya Africa hii na dunia kiujumla, mpuuzi Sana wewe.

Kuna udhalimu gani gadafi amefanya zaid ya vibaraka Kama nyinyi kupandikizwa na Kisha kusapotiwa kuharibu nchi ya Libya ilikua na Kila neema.

Haya leo huyo gadaf hayupo,vp hao kina mama,wazee,watoto na wanachi wanavyopata tabu ndani ya nchi yao kwa kutiwa ulemavu na Vita ya wenyewe kwa wenyewe.Walowatuma hawana habar wanauza silaha na kunyonya mafuta watakavyo.
 
Look yaani wameshindwa kuondoka hata na mtupa Mawe mmoja tu wakamwonyeshe cha mtema kuni? Hapo ilitakiwa waondoke na sampuli moja tu...
We jamaa una ROHO MBAYA SANA ,Mbona Kuna nyuzi unajipambanua mkristo tena mlokole unayechukia Ukatoliki!

Kwa Roho hii utakufa kifo kibaya sana!
 
Back
Top Bottom