Omusolopogasi
JF-Expert Member
- Aug 31, 2017
- 7,101
- 18,051
Tuna chuki ya muda mrefu. Hii haikuanza leo. Uonevu wao na kujipambanua kuwa wako CCM huku wakikata mauno kwenye clips. Hatuna urafiki nao. Nina ndugu zangu wa damu ambao ni maaskari. Sina mpango nao. Wako upande wa CCM kama kawaida yao.
Mnafurahia raia kurushia polisi mawe. Wakati huohuo mnachukia polisi kupiga raia virungu.
Hii ndio haki inayopiganiwa!