Uchaguzi 2020 Zanzibar: Askari wanaolinda usalama wa watu na mali zao, washambuliwa kwa Mawe!

Uchaguzi 2020 Zanzibar: Askari wanaolinda usalama wa watu na mali zao, washambuliwa kwa Mawe!

gaidi wewe safari HII jiandae kuozea ndani ukaungane na wale magaidi mashehe
Unajidai una hasira kumbe jinga tu lazima mkubali upinzani upo na una nguvu nyie jipangeni na hao polisi muone kama watawafikisha popote, dhuruma mwisho wake ni aibu na hanguko.

Mulikuwa mnasifu mmefanya mengi asaiv mmeanza vitisho na lawama, lazima tuwatoe madarakani safari hii ccm ni upinzani watarajiwa.
 
Kwataarifa yako hao polisi ni nothing out of uniform...uniform zinawabeba Sanaa......Usitake wauawe kama kuku

askari anayefanya kazi nje ya uniform anafanya kazi yenye matokea makubwa kuliko unavyowaza.

kama huamini tukutane tareh 29 hapa.wasichofahamu wapemba wanaandamana na mamruki kibao humo,na ndio wanapambiza vurugu.wacha waendelee kujiachia.
 
Unajidai una hasira kumbe jinga tu lazima mkubali upinzani upo na una nguvu nyie jipangeni na hao polisi muone kama watawafikisha popote, dhuruma mwisho wake ni aibu na hanguko
Mulikuwa mnasifu mmefanya mengi asaiv mmeanza vitisho na lawama, lazima tuwatoe madarakani safari hii ccm ni upinzani watarajiwa.

hanguko=anguko
mulikuwa=mlikuwa

punguza hasira bro,siasa haiko serious saana na maisha yako.
 
Polisi ongezeni askari wasio na uniform mitaani hapo mbona ilikuwa rahisi tu kuwadaka hao watupa mawe sio lazima wadakwe wote mnakamata wachache tu katika wengi wanaotupa mawe halafu mnawabana korodani na koleo had I wakumbuke bibi zao waliofariki...

Kwa akili za namna hii... Inaonyesha Ni wachache ndani ya CCM wenye busara na hekima....
 
Magufuli, kwa uwezo mdogo wa kiutawala aliouonyesha mpaka sasa, na kutotumia busara/hekima/demokrasia nk.bali kupenda ubabe/chuki na visasi, huenda akaingia katika historia ya kuwa rais atakayeiingiza nchi hii kwenye civil war.

Kwa dalili zinavyoonekana.... Serikali inatumia nguvu kubwa kuitetea CCM ibaki madarakani....

Naamin raia wameshachoshwa na uonevu, upendeleo unaofanywa na Tume ya uchaguzi na vyombo vya usalama na ulinzi.... Raia wapo tayari kwa lolote..

....... Wao wanahangaika na raia wasio na silaha Zanzibar. Huku ni kufeli kwa dola.

Mtu akitawaliwa kwa nguvu huyo atakuwa sio raia Ni mtumwa.... Dola inataka kutawala kwa nguvu...
 
Wakishafungua kila kitu kitawekwa wazi na huo inawezekana ikawa ndio mwanzo wa CIVIL WAR .... Hata kwa Gadaffi yalianzia kama hivyo lakini mwisho hata Jeshi lilishindwa
Ati civil war, you guys are so dumb, mnashindwa vizuri na hakuna cha civil war wala nini, si ni kesho kutwa tu. Tutaona
 
Mkuu hakuna jeshi linaloweza kuishinda nguvu ya UMMA , halijawahi kutokea mahali popote pale duniani. Raia wakisema sasa basi si risasi mabomu na maji ya pilipili yatakayozuia dhumuni lao la kupambana na uonevu.
Hamna namba nyinyi, nguvu ya uma as if you have a large support, si kesho kutwa tu, tutaona
 
askari anayefanya kazi nje ya uniform anafanya kazi yenye matokea makubwa kuliko unavyowaza.

kama huamini tukutane tareh 29 hapa.wasichofahamu wapemba wanaandamana na mamruki kibao humo,na ndio wanapambiza vurugu.wacha waendelee kujiachia.
Narudia tena uchaguzi was mwaka huu ni wakihistoria....hamtaamini
 
Hamna namba nyinyi, nguvu ya uma as if you have a large support, si kesho kutwa tu, tutaona

nguvu ya uma[emoji16][emoji16][emoji16].

wakati kuna vijiko,visu,mipawa,flampeni nk[emoji1787][emoji1787]
 
Tusikubali wizi wa CCM kupitia NEC ikibidi tutafanya chochote.

Sawa..waache waendelee kutumia silaha zao duni za stone age.

Leo na kesho, Askari wa usalama wakianza kutumia chuma, serikali inaanza kuonekana ina matatizo na wananchi wake.

Wananchi Msijaribu kucheza na vyombo vya usalama na askari wake pasipo na sababu ya msingi.Tutawaumiza.

Wazanzibari - kofia kwenu. Shikilia hapo hapo. Bado kitambo tu, kutapambazuka. Mbarikiwe sana kwa ujasiri wenu. Na hawa waoga wa Bara watajifunza kitu toka kwenu.

Nashauri patokee Vita basi. Sioni dalili ya kuheshimiana nje ya vita
 
gaidi wewe safari HII jiandae kuozea ndani ukaungane na wale magaidi mashehe
Mrusha mawe ukidakwa unashambulia vyombo vya ulinzi na usalama hiyo ni kesi ya ugaidi utaozea ndani shauri yako

Haujui hata maana ya neno gaidi...
Kajipange kwa hoja sio Kuandika upuuzi..

JWTZ ni jeshi la wananchi mwananchi mkorofi hawezi kulishinda

Ni aibu Jwtz kushindana na raia kwa maslahi ya CCM.... Ingekuwa busara waende kule Mozambique kupigana na magaidi na sio raia...
 
Polisi ongezeni askari wasio na uniform mitaani hapo mbona ilikuwa rahisi tu kuwadaka hao watupa mawe sio lazima wadakwe wote mnakamata wachache tu katika wengi wanaotupa mawe halafu mnawabana korodani na koleo had I wakumbuke bibi zao waliofariki...
Hayo unayoyasema ni sawa na kumwaga petrol kwenye moto. Kumbuka wanccm wako mitaani wanajulikana na wao ndiyo walengwa wakuu.

Busara itumike badala ya ubabe. Vinginevyo hali itakuwa mbaya zaidi.
 
Back
Top Bottom