Pakawa
JF-Expert Member
- Mar 11, 2009
- 7,973
- 13,647
Watu wamechoookaaaaMkuu hakuna jeshi linaloweza kuishinda nguvu ya UMMA , halijawahi kutokea mahali popote pale duniani. Raia wakisema sasa basi si risasi mabomu na maji ya pilipili yatakayozuia dhumuni lao la kupambana na uonevu.
Ameleta wajeshi kutoka nchi jirani
Itakuwa mmoja akihojiwa aongee lugha tofauti utakuwa ushahidi mzuri icc
Karibu kunakucha...