Zanzibar bila Tanganyika

Zanzibar bila Tanganyika

Zanzibar imejaa fursa lukuki
1. UTALII
2. GESI
3. MAFUTA
4. KARAFUU
5. MWANI
Ila ndo koti la Muungano linatubana. Viza zinatolewa Tanganyika pesa inaliwa Tanganyika. Viongozi wanachaguliwa Dodoma (Tanganyika).
Madhalimu tu nyie!

Tukiwaachia itabidi mturudishie Loliondo iliyouzwa na Mzee Mwinyi kwa OBC ya waarabu.

Tukiwaachia itabidi mturudishie ngorongoro aliyouza mwanae Mzee Mwinyi Samia hassan kwa waarabu

Tukiwaachia itabidi mturudishie lile eneo la bagamoyo mlilopewa kuchungia ngombe na sasa mnadai ni lenu

Tukiwaachia itabidi mtuhakikishie usalama wa bandari zetu.

Muondoke kabisa mkawauze znz yote kwa wajomba zenu mnaowaabudu hivyo!

Tunawapa umeme bure nendeni!!
Ondokeni!!!! your more of a liability than an asset to us
 
eneo la bagamoyo wala usihofu, hilo sio eneo la nchi, any time Rais anaweza kurevoke kama anavyoweza kurevoke maeneo ya mtu yeyote.
 
Zanzibar imejaa fursa lukuki
1. UTALII
2. GESI
3. MAFUTA
4. KARAFUU
5. MWANI
Ila ndo koti la Muungano linatubana. Viza zinatolewa Tanganyika pesa inaliwa Tanganyika. Viongozi wanachaguliwa Dodoma (Tanganyika).
vyote hivyo vipo Tanganyika.
 
Zanzibar imejaa fursa lukuki
1. UTALII
2. GESI
3. MAFUTA
4. KARAFUU
5. MWANI
Ila ndo koti la Muungano linatubana. Viza zinatolewa Tanganyika pesa inaliwa Tanganyika. Viongozi wanachaguliwa Dodoma (Tanganyika).
Zanzibar ni koloni la Tanganyika. Viongozi wa zenji wanapatikana Dodoma.

Hata Abdul jumbe alivuliwa urais wa ZnZ Dodoma. Shikamoo Dodoma🤣🤣🤣🤣🪑
 
Zanzibar ni koloni la Tanganyika.viongozi wa zenji wanapatikana dodoma.
Hata Abdul jumbe alivuliwa urais wa znz dodoma.shikamoo Dodoma🤣🤣🤣🤣🪑
Tanganyika haipo, itakuwaje iwe mkoloni?

Kwa mantiki hiyo Zanzibar haiwezi kuwa koloni wala Tanganyika sio koloni kwa sababu haipo.

Kwa kuwa Zanzibar ipo na inaingia kwenye vikao vya kufanya maamuzi kuhusu ruhani Tanganyika!

Kwa msingi huo Zanzibar inakuwa ndio mkoloni!
 
Zanzibar haina ardhi ya kutosha wala rasilimali watu.
Kuhusu ardhi umesema kweli. Ama rasilmali watu huenda umeifahamu sivyo. Naielewa rasilmali watu kama ni nguvu kazi, yaani watu wenye uwezo wa kufanya kazi kuhudumia watu wa eneo husika, na hapa ni Zanzibar.

Kwa mujibu wa sensa ya mwisho, Zanzibar inao wakaazi zaidi kidogo ya 1.8 milioni. Ukichukulia na ukubwa wa eneo lake, kwa uelewa wako, ni idadi gani ingekuwa ya kutosha?

Elimu huko visiwani ni duni mno.
Huenda ama huna kumbukumbu sahihi au unazungumza maneno ya vijiweni, yaani hayana ushahidi. Sasa mimi nakupa haya kwa ushahidi:
Zanzibar, kama nilivyoeleza awali, ina idadi ya wakaazi zaidi kidogo ya milioni 1.8. Elimu ya lazima kule ni hadi kidato cha nne. Katika idadi hiyo, kuna vyuo vikuu vitatu navyo ni SUZA, ZU na Alsumeit. Kuna matawi ya vyuo vikuu vya Bara - Mwalimu Nyerere na chuo kikuu huria. Hivi wanasoma Wazanzibari.

Kuna vyuo pia Bara ambavyo Wazanzibari wanasoma. Nenda leo Udsm, Udom, Mzumbe, vyuo vikuu viliyoko Mbeya, Arusha na kwingineko, fanya utafiti kuna Wazanzibari wangapi?

Nikuambie tu: akili ya kuambiwa changanya na zako. Huko mnakoambiwa Wazanzibari hawana elimu wanakujueni kwamba hamna akili. Waonesheni kuwa nanyi mumesoma kama wao na munaweza kufikiri wenyenu.

Swala la Wazanzibari na elimu alilijua hata Mwalimu Nyeree, naamini unamwamini, tafuta ujue alisemaje. Achanq na Wazanzibari kielimu, wewe si saizi yako.

Zawadini
 
Takbiir
 
..Waziri wa Mambo ya ndani ambaye ana dhamana na Idara ya Uhamiaji ni Mzanzibari. Katika mazingira hayo sio sahihi kutulaumu Watanganyika kwamba tunawanyima mapato yanayotokana na visa.

..Pia vipi kuhusu makusanyo ya malipo ya visa kutoka kwa wageni wanaotua na ndege Zanzibar bila kupitia Tanganyika? Hayo mapato Wazanzibari mnayapeleka wapi?
Daaa! ama kweli watu hawajui sheria na mifumo ya serikali inavyoendeshwa! hili ni suala la kuuliza kweli?
 
Kinachochekesha ni kuwa hatuutaki muungano huku idadi ya wakazi wenye asili ya visiwani ambao kwa sasa wanaishi bara, ni zaidi ya wale ambao wapo kule, hivi hujiulizi kwanini??

Huku ndio kwenye fursa ndio maana mamilioni wapo huku, na sisi wabara hatuna ubaguzi ndio maana dada zenu tunawahudumia na nyie pia ruksa kuyajenga

Huu muungano udumu daima ila huu ufala wa kazi za bara chawote halafu Zenji peke yenu na Ardhi bara chawote afu Zenji peke enu unapaswa ufutwe mara moja kila mtu aruhusiwe kumiliki anapomudu maadamu hajapora mtu
 
..Rais Mzanzibari.

..Waziri wa Mambo ya Ndani ambaye anasimamia idara ya Uhamiaji ni Mzanzibari.

..hao wameshindwa nini kutatua hilo tatizo la Znz kukosa mapato yanayotokana na Visa?
 
Kinachochekesha ni kuwa hatuutaki muungano huku idadi ya wakazi wenye asili ya visiwani ambao kwa sasa wanaishi bara, ni zaidi ya wale ambao wapo kule, hivi hujiulizi kwanini??

Huku ndio kwenye fursa ndio maana mamilioni wapo huku, na sisi wabara hatuna ubaguzi ndio maana dada zenu tunawahudumia na nyie pia ruksa kuyajenga

Huu muungano udumu daima ila huu ufala wa kazi za bara chawote halafu Zenji peke yenu na Ardhi bara chawote afu Zenji peke enu unapaswa ufutwe mara moja kila mtu aruhusiwe kumiliki anapomudu maadamu hajapora mtu

..wasioutaka muungano ni Waznz waliobaki Unguja na Pemba.

..walioko huku Tanganyika wanafaidi fursa za biashara, au ufisadi ktk serikali ya Tanganyika/muungano.
 
Back
Top Bottom