Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapo umtoa matusi tuuuuu! Hujajibu hoja,,je nikweli wazanzibar wanazingatia sana mafunzo ya quraan na madrasa ndio mana hawajawahi kuwepo hata kwenye top 1000
Huhajibu hoja mkuu!! Kwa nini waislamu wengi wenu ni failure
We hushangai wadau wengi wanasema kuwa akili zako hazina akili!
Au woote hao hawajui kama ujuavyo wewe!?
Amka kijana. Hizi gongo bila kula zinaharibu fahamu!
kaka jibu swali acha kelele
Wana jamvi sijawahi kuona wala kusikia shule toka znz imeingia ktk ten bora katika matokeo ya ya kidato cha 4 na pia hata sijawah kupata mwanafunzi bora wale kumi toka znz kwanini?
Elimu si jambo la Muungano na Zanzibar wana Wizara yao ya Elimu. Sina hakika kama hili lilishafanyiwa mabadiliko, lakini sisi tuliosoma enzi za Mwalimu tunafahamu ya kwamba Zanzibar hata muhula wa shule ulikuwa tofauti na kwetu Tanganyika. Enzi hizo Sekondari Zanzibar (O level) ilikuwa miaka mitatu badala ya miaka minne ya kwetu, na tulikuwa tunafanya mitihani tofauti, na nyakati tofauti pia. Sina hakika kama hili limebadilika lakini wakati mimi niko shule ilikuwa hivyo. Nakumbuka kuna wanafunzi wazanzibari tulikuwa nao shuleni, walipofika Form 3 wakaenda kusoma Zanzibar. Sisi tukiwa Form 4 wao walikuwa wameshamaliza O Levels na kupelekwa kusoma High School Urusi kwa Scholarship kutoka Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar. Ninafikiri walikuwa na Baraza la Mitihani la Zanzibar lililokuwa linaratibu mpango mzima.
hatuhitaji kuwa wa kwanza duniani target yetu ni kuwa wa kwanza kwa Allah, nyie tuburuzeni huku ila tukifika kwa Allah nasi tutawaburuza
Madrasa ndiyo sababu halisi... Japo watapinga saaanaaaWana jamvi sijawahi kuona wala kusikia shule toka znz imeingia ktk ten bora katika matokeo ya ya kidato cha 4 na pia hata sijawah kupata mwanafunzi bora wale kumi toka znz kwanini?
Madrasa ndiyo sababu halisi... Japo watapinga saaanaaa
hapana si kweli wengine tumepita madrasa, tumehifadhi Quran na bado tuna GPA kubwa kutoka vyuo vinavyoheshimika duniani hivyo ni suala la mtu sio mfumo wa kiislamu.
Mpo wachache wa hivyo... Nyie ndo angalau mnaifanya Zanzibar ishike namba za chini... Mkiondoka na nyie ndo itakuwa balaa.... Halafu kubisha huko ndo kunawafanya m'bakie hapo..hapana si kweli wengine tumepita madrasa, tumehifadhi Quran na bado tuna GPA kubwa kutoka vyuo vinavyoheshimika duniani hivyo ni suala la mtu sio mfumo wa kiislamu.