Zanzibar haijawahi kuingiza shule katika 10 bora katika matokeo kidato cha 4 kwanini?

Elimu Ya Sec,Co Suala La Muungano,labda Elimu Ya Juu Ndo Suala La Muungano
 
Kaka mtoa uzi usirudie kuandika uzi kama huu, utatukanwa matusi ya kila rangi. Mengine uwe unayaona na kuyaacha kama yalivyo. Jiulize shule nyingi za kiislamu kwa nini huwa hawaingii kumi bora? Walimu wanao sahihisha necta wanakuwa wagalatia wote? Wawe na pepa lao? AU Ndalichako amerejea Necta? Hapo mimi sijui! Ndio maana nakushauri upotezee thread kama hizi.
 
Hapo umtoa matusi tuuuuu! Hujajibu hoja,,je nikweli wazanzibar wanazingatia sana mafunzo ya quraan na madrasa ndio mana hawajawahi kuwepo hata kwenye top 1000

Huhajibu hoja mkuu!! Kwa nini waislamu wengi wenu ni failure

We hushangai wadau wengi wanasema kuwa akili zako hazina akili!
Au woote hao hawajui kama ujuavyo wewe!?

Amka kijana. Hizi gongo bila kula zinaharibu fahamu!
 
duu,kuna shule inaitwa mwanakwerekwe..,noma 2pu utafkr haina mwalim ata m1,tatzo ndg ze2 wamewekeza kwenye elim akhera tu afu wanasahau hai2mik kujibia mitihan ya darasan!
 
Wana jamvi sijawahi kuona wala kusikia shule toka znz imeingia ktk ten bora katika matokeo ya ya kidato cha 4 na pia hata sijawah kupata mwanafunzi bora wale kumi toka znz kwanini?

Elimu si jambo la Muungano na Zanzibar wana Wizara yao ya Elimu. Sina hakika kama hili lilishafanyiwa mabadiliko, lakini sisi tuliosoma enzi za Mwalimu tunafahamu ya kwamba Zanzibar hata muhula wa shule ulikuwa tofauti na kwetu Tanganyika. Enzi hizo Sekondari Zanzibar (O level) ilikuwa miaka mitatu badala ya miaka minne ya kwetu, na tulikuwa tunafanya mitihani tofauti, na nyakati tofauti pia. Sina hakika kama hili limebadilika lakini wakati mimi niko shule ilikuwa hivyo. Nakumbuka kuna wanafunzi wazanzibari tulikuwa nao shuleni, walipofika Form 3 wakaenda kusoma Zanzibar. Sisi tukiwa Form 4 wao walikuwa wameshamaliza O Levels na kupelekwa kusoma High School Urusi kwa Scholarship kutoka Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar. Ninafikiri walikuwa na Baraza la Mitihani la Zanzibar lililokuwa linaratibu mpango mzima.
 
Kuanzia leo nimeamua kuwa shabiki wa thread zenye harufu ya UDINI, mambo ya yanga vs simba sijui Aseno hapa cha mtoto! Jamani kutokuamini katika mizimu ya waarabu na wazungu raha! unakaa zako pembene unaangalia jinsi watu wanavyojimwagia adrenaline kisa 'kupigania' dini zao na mitume wake, 'N'gwana Malundi ni Mtume wangu hana ubaguzi na haitaji nimpiganie!'
 
Elimu si jambo la Muungano na Zanzibar wana Wizara yao ya Elimu. Sina hakika kama hili lilishafanyiwa mabadiliko, lakini sisi tuliosoma enzi za Mwalimu tunafahamu ya kwamba Zanzibar hata muhula wa shule ulikuwa tofauti na kwetu Tanganyika. Enzi hizo Sekondari Zanzibar (O level) ilikuwa miaka mitatu badala ya miaka minne ya kwetu, na tulikuwa tunafanya mitihani tofauti, na nyakati tofauti pia. Sina hakika kama hili limebadilika lakini wakati mimi niko shule ilikuwa hivyo. Nakumbuka kuna wanafunzi wazanzibari tulikuwa nao shuleni, walipofika Form 3 wakaenda kusoma Zanzibar. Sisi tukiwa Form 4 wao walikuwa wameshamaliza O Levels na kupelekwa kusoma High School Urusi kwa Scholarship kutoka Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar. Ninafikiri walikuwa na Baraza la Mitihani la Zanzibar lililokuwa linaratibu mpango mzima.

Hata sasa,elimu ya Secondary si suala la muungano
 
Mimi ni muislamu ila kiukweli hatuko serious kwenye elimu. Mimi nimepeleka mwanangu wa miaka minne shule ya awali ya kiislamu hakuna utaratibu wa kueleweka wanavyo mchukulia mtoto wa nursery ni sawa na darasa la NNE. tusipobadilika tutabaki kulalamika daima.
 
Wana jamvi sijawahi kuona wala kusikia shule toka znz imeingia ktk ten bora katika matokeo ya ya kidato cha 4 na pia hata sijawah kupata mwanafunzi bora wale kumi toka znz kwanini?
Madrasa ndiyo sababu halisi... Japo watapinga saaanaaa
 
hapana si kweli wengine tumepita madrasa, tumehifadhi Quran na bado tuna GPA kubwa kutoka vyuo vinavyoheshimika duniani hivyo ni suala la mtu sio mfumo wa kiislamu.
 
1393220450746.jpg
 
hapana si kweli wengine tumepita madrasa, tumehifadhi Quran na bado tuna GPA kubwa kutoka vyuo vinavyoheshimika duniani hivyo ni suala la mtu sio mfumo wa kiislamu.

sasa labda unavyoonelea ww tatizo litakuwa ni nini!!??
 
hapana si kweli wengine tumepita madrasa, tumehifadhi Quran na bado tuna GPA kubwa kutoka vyuo vinavyoheshimika duniani hivyo ni suala la mtu sio mfumo wa kiislamu.
Mpo wachache wa hivyo... Nyie ndo angalau mnaifanya Zanzibar ishike namba za chini... Mkiondoka na nyie ndo itakuwa balaa.... Halafu kubisha huko ndo kunawafanya m'bakie hapo..
 
Back
Top Bottom