Baada ya kifo cha Magufuli Zanzibar imekuwa na mabadiliko makubwa kiuchumi, barabara zumepigwa lami nyingi sana. Hawajaanza kuchimba mafuta, zile pesa wamezitoa wapi? Ji ukweli Samia kuna namna amefanya, pesa zetu inajenga Zanzibar ndio maana wanataka kumwongezea Mwinyi muda wa uongozi.
Ni wazi wazanzibari wakipata maendeleo hakuna muungano.
Huu muungano km wazanzibari hawataki serikali moja uvunjwe, hatuwezi kuogopa maskini wasio na faida na sisi. Sijawahi ona tajiri akimwogopa maskini