Mbona maendeleo zanzibar yamekuwa ghafla sana, na sisi tupeni siri ya maendeleo huku bara!Kwani Zazibar sio sehemu ya Tanzania? Wewe wataka maendeleo yawe sehemu moja tu.
Huu ndio ukweli mikopo anayokopa Chura Kiziwi inaneemesha upande wa piliMisaada ikija ni 50 kwa 50 bila kuangalia wingi wa watu.