Zanzibar inachangia nini kwenye Serikali ya Muungano? Isije ikawa wanatumia Kodi za Bara

Inabidi watuambie maana kwa mimi mtanganyika sioni umuhimu kwakuwa mm nikitaka kuishi zanzbar siruhusiwi kununua eneo wakati yeye anaruhusiwa kununua eneo lolote huku bara why ?
 
Iyo sio kwa zanzabar tu ni ngumu sana ktu kikiwa pamoja au kikiungana kutaka kujitenga si kaz ndogo ,mfano angalia tigray au catalunya na kwingneko
Iko hivi,ukiona upande fulani unataka kujitoa kwenye muungano kisha upande mwingine unang'ang'ania muungano uendelee,basis elewa kuwa ANAYETAKA KUJITOA ANAFANYA HIVYO KWAKUWA AMESHAONA MUUNGANO UNAMNYONYA ila YULE ANAYEUNG'ANG'ANIA ANAFANYA HIVYO KWAKUWA YEYE NDO ANAFAIDIKA HASWA NA HUO MUUNGANO.

Kwa mantiki hiyo basi,Watanganyika wana siri nzito jinsi Muungano unavyowafaidisha kuliko Wazanzibar.
 
Mbuzi ale kwa urefu wake bana [emoji56][emoji123][emoji23][emoji23]
 
Mkuu Zanzibar inachangia Jina maana hebu piga picha tu Tungeendelea kuitwa "Tanganyika" jina lenyewe linahuzunisha kabisa
Jina la baba yangu linahuzunisha??
Labda babako?!
 
Tatu au Moja
Zaidi ya hapo ni ghilba
 
Labda hujaelewa, msaada wowote wanaoomba Zanzibar, hauendi Zanzibar moja kwa moja kama walivyoomba ni lazima upitie kwenye Jamhuri ndipo Zanzibar wapatiwe kistahiki kulingana na mgawanyo! Sasa kwanini iwe hivyo? Kwanini isiwe msaada wanaoomba Zanzibar usiende Zanzibar kwa walengwa moja kwa moja.
Mambo ya Muungano yalikuwa 11, hadi sasa yamefika 24.
 
"Na huu ndio ukweri wenyewe"
 
Jumlisha hiyo misada iliyopatikana kisha Toa gharama wanazotumia wazenj kuanzia utosini hadi ncha ya kidole cha kushoto kama kwenye bando kuna salio inua Kidole[emoji56]
 

Mkuu wewe ndiyo utakuwa hujaelewa. Tulia usome tena.

Kuna sehemu 3:

1. Zanzibar
2. Tanganyika
3. Tanzania

Katika Tanzania kuna Zanzibar na Tanganyika.

Zanzibar yupo hai ila Tanganyika ni marehemu kabisa.

Zanzibar anaweza omba hata msaada. Tanganyika - hola!

Zanzibar anapata gawio tokea Tanzania. Tanganyika - hola!

Zanzibar anaweza kufurukuta. Tanganyika - hola!

Tanganyika is a loser in everything!

Au nasema uongo ndugu zangu?
 
Zanziba kimsingi inapaswa iwe mkoa moja au miwili. Kiuchumi haina tija ila kisiasa. Ukiangalia ni wazanzibari wangapi wanaishi bara utakuta ni hasara tu. Hawana tofauti na magabacholi wengine. Nyerere alipenda sana kuunganisha Afrika akashindwa na kuunganisha nchi yake na kiraka cha matatizo. Hata hivyo, ukiwaacha waondoke kwenye muungano ima watarejea kwenye utumwa wa waarabu au watamalizana kwa kuchinjana baina ya wazanzibara na wazanzirabu aka wapemba.
 
Zanzibar kuna ofisi za TRA wanawakusanya kodi halafu zinaenda kutumika kwa maendeleo ya Tanganyika.,
 
Mama anatakiwa aongoze nchi kwa haki. Hizo hela zingerud zilikotoka. Kama kuna sehemu ilitokea Zanzibar basi irudi hivyo hivyo. Juzi kwenye Hotuba yake alisikika akisema kua Bandari inaweza ikajengwa popote, na akataja eneo mojawapo pia la Zanzibar sikumbuki wapi. Lakini tujiulize je hilo eneo liko kwenye bajeti au mafikirio ya kujenga Bandari?
 
Kwanza Zanzibar ni eneo tu lililopo tanganyika tatzo shombe shombe na waaraabu ndio wametuharibia hicho kisiwa chetu huko ni kama wilaya hapakua na haja ya kua nchi,


Hawana aridhi, kodi yao ndogo wanatunyonyaa, mifugo inavushwa kwenda visiwani, hawana nyama wala mashamba ya mchele , sukari tunawapelekea na akili hawana wa mwisho kila kitu ndio maana hata hawawezi
Fikili vizuri ni taMAA tuu wajawa na kujazwa ujinga na waarabu.

Wanakuja kwetu kuuza bidhaa, aridhi wanapata bure wanaoa binti zetu hatuwabagui ila wao ukioa na majini unatupiwa mpaka wakupende ndio salama yako hawajui maridhiano.

Nchi ya ni udini full kunyanyaswa hembu tuwaachie wajitawale kwanzaa sio wazanzibar ni kuna wapemba naa unguja .


Mie nawaonaga kama kichwa cha mwenda wazimu na haraakati zaoo za lofaa.

Wapite hivi.
 
Tokea mapinduzi wazanzibar wamekuwa wakikusanya kodi kupitia TRA halafu zinaenda kutumika kule Tanganyika unyamwezini, zanzibar haifaidiki na kodi hii ata shilingi 1., lakini pia kumbuka BOT msingi wake Zanzibar ndio walitoa fedha zao nyingi kuanzishwa kwake laki leo BOT inafanywa kuwa ni zao la Tanganyika tu.,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…