Zanzibar inachangia nini kwenye Serikali ya Muungano? Isije ikawa wanatumia Kodi za Bara

Zanzibar ni Tanzania km ilivo chato. Kwani chato walikia wanachangia nn hasa taifa hili zaidi ya kutuletea dikteta na mharibifu wa uchumi wa nchi?

Km ww ni liccm kaa kwa kutulia tulii
 


Kizimkazi
 
Solu
Solution hapo, Muungano uvunjwe. Wazanzibar wabaki na nchi yao, watakua huru wakijiendesha wenyewe, na sapoti kubwa watapata kutoka mataifa ya nje. Naamini kabsa zanzibar itakua haraka na wazanzibar watafurahia mema ya nchi.
Muhimu mama samia akaenao, awasikilize hoja zao na matakwa yao, na kuwafanyia wanachokitaka.
 
Tanzania inai hold Zanzibar kwa sababu za kiusalama ila sio kwamba inafaidika kwa lolote! Hilo tu ndio hawa viongozi hawalisemi yani!
Acha upumbavu ww, kwamba Zanzibar kuna fujo au usalama wake mdogo? Ww unaongea ivyo but hao waliounganisha na wanaoshikilia muungano uwepo wanajua wanachofaidika,
Kumbe kiasi muibiwe mabilioni ya hela na kinakingwala coz hamujijui mupomupo tu kama mazombi na mtaendelea kuibiwa na CCM mpaka dunia itaisha
 
 
Sawa mnufaika, atleast nachoelewa ni hicho hayo tu!
 
Hapa ndipo Watanganyika wanapaswa kuelewa!

Pesa za muungano zinatoka hazina Dar ambazo ni kodi za Tanganyika. Hazitoki hazina Zanzibar

Leo Rais anasema zigawanywe pande mbili sawa sawa. Licha ya kwamba si za muungano lakini unagawaje pesa kwa watu 600,000 sawa na milioni 45-50? usawa unatoka wapi hapo? ni 600K kwasababu nusu ya Wazanzibar wanaishi bara, walioko kule ni nusu

Ukitaka kusikia Zanzibar ni pale penye mgao. Katika kuchangia hatuwasikia hata siku moja

Bila Tanganyika itakayoamua mambo yake nje ya muungano, itafika mahali wenzetu wanalala tu kwasababu pesa itatoka bara. Waulizeni , wanachangia nini katika muungano?

JokaKuu Pascal Mayalla
 

Wanachangia kutoa Viongozi wa kutuongoza sisi WaTanganyika.
 
Mtikila kila alipowambia mulimuona kichaa, really miss him.
 
Acha kuleta habari zako leta documents hapa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…