Bila ya shaka utakuwa umesikia leo taarifa ya lile daraja refu zaidi kupita bahari limefunguliwa huko China leo. Daraja hilo liitwalo Daraja la Qingdao Jiazhou lina urefu wa kilometa 42 (sawa na umbali wa mbio za marathoni) kama mile 26 hivi. Daraja hilil la China la kisasa kama picha zinavyoonesha limejengwa kwa gharama ya dola bilioni 1.5 (karibu na shilingi za Kitanzania Trilioni 2 na ushee). Daraja hili lilianza kujengwa mwaka 2006 na limekamilika mwaka 2011 kama ilivyotarajiwa.Zanzibar for Zanzibaris.
- Nakubaliana na wewe Mkuu kuwa bahari si kikwazo cha kuunganisha sehemu mbiili za nchi moja lakini hii dhana ya kuwa Tanzania ni nhi moja ni ya kwenu tu
- Kama nia ya kujenga daraja ni kuimarisha "muungano", sisi hatuna haja nao
- Kama ni kuungana, unganeni na Kenya, Uganda, Rwanda, Burundi, Zambia na Msumbiji wala hakutakuwa na gharama yoyote ile zaidi ya kupoteza utaifa wenu kama sisi mlivyotupotezea wetu
- Endeleeni na ufisadi muimalize nchi yenu
- Hivi sasa hakuna daraja na mmejaa tele, jee ikijengwa"
- Hatutaki daraja wala "muungano", kama ni udugu wa damu, tunao kabla ya kuungana.
- Msiendelee kujidanganya, "muungano" haupo.
Bila ya shaka utakuwa umesikia leo taarifa ya lile daraja refu zaidi kupita bahari limefunguliwa huko China leo. Daraja hilo liitwalo Daraja la Qingdao Jiazhou lina urefu wa kilometa 42 (sawa na umbali wa mbio za marathoni) kama mile 26 hivi. Daraja hilil la China la kisasa kama picha zinavyoonesha limejengwa kwa gharama ya dola bilioni 1.5 (karibu na shilingi za Kitanzania Trilioni 2 na ushee). Daraja hili lilianza kujengwa mwaka 2006 na limekamilika mwaka 2011 kama ilivyotarajiwa.
Zanzibar for Zanzibaris.
- Nakubaliana na wewe Mkuu kuwa bahari si kikwazo cha kuunganisha sehemu mbiili za nchi moja lakini hii dhana ya kuwa Tanzania ni nhi moja ni ya kwenu tu
- Kama nia ya kujenga daraja ni kuimarisha "muungano", sisi hatuna haja nao
- Kama ni kuungana, unganeni na Kenya, Uganda, Rwanda, Burundi, Zambia na Msumbiji wala hakutakuwa na gharama yoyote ile zaidi ya kupoteza utaifa wenu kama sisi mlivyotupotezea wetu
- Endeleeni na ufisadi muimalize nchi yenu
- Hivi sasa hakuna daraja na mmejaa tele, jee ikijengwa"
- Hatutaki daraja wala "muungano", kama ni udugu wa damu, tunao kabla ya kuungana.
- Msiendelee kujidanganya, "muungano" haupo.
Nadhani unajua kabisa kuwa kujengwa kwa daraja la kuunganisha bara na visiwani (by the way visiwa vya Zanzibar vilikuwa vimeunganishwa na bara katika zama hizoooo) kutakuwa ni kurudisha muungano wa asili wa maeneo hayo. Lakini zaidi itaondoa na kufuta wazo la kujificha kama visiwa "Zanzibar yetu" kwani hatimaye Zanzibar itaunganishwa na bara ambayo ni asili yake. Hili linakuogopesha, kwani Muungano utakuwa siyo tu wa kisiasa bali physically! what a pyschological blow to the separists of Zanzibar.
Tusifikiri kidogo, tusijifunge kwenye kufikiri vidogo; CCM imetufanya tufikiri kidogo, viongozi wetu hawafikiri tena makubwa! wanataka ya wastani! Well mataifa ya kisasa hayajengwi na watu wenye kufikiri kidogo au kwa wastani! Muungano ukivunjika mnaweka vituo vya mpaka na forodha katikati ya bahari kwenye hizo barabara! au hili linahitaji ugenius kulifikiria nalo? Au Muungano ukivunjika maana yake Zanzibar inazama baharini!?
to mainland!
Okay...closest distance to either island to mainland ni kiasi gani?
Kwa nini tudhubutu kufanya hichi kitu? What are we going to try and prove? Kuwa tunaweza kujenga daraja? Barabara, uwanja wa taifa, mabasi ya kasi, umeme, maji, reli, yote yanafanywa na kampuni za nje. Hili litatengenezwa na watu hao hao. So where is the pride in that? Mnajenga kitu ambacho mtu wa nje ndio atafaidi! Hizi siasi hizi...zinatufanya tuwaze ndoto....
Nadhani unajua kabisa kuwa kujengwa kwa daraja la kuunganisha bara na visiwani (by the way visiwa vya Zanzibar vilikuwa vimeunganishwa na bara katika zama hizoooo) kutakuwa ni kurudisha muungano wa asili wa maeneo hayo. Lakini zaidi itaondoa na kufuta wazo la kujificha kama visiwa "Zanzibar yetu" kwani hatimaye Zanzibar itaunganishwa na bara ambayo ni asili yake. Hili linakuogopesha, kwani Muungano utakuwa siyo tu wa kisiasa bali physically! what a pyschological blow to the separists of Zanzibar.
Hio Mkuu Mwanakijiji ni wishful thinking to say the least.
Hilo halitatokea katika uhai wetu kamwe.
Zanzibar for Zanzibaris only
Okay...closest distance to either island to mainland ni kiasi gani?
Bagamoyo is the closest place to Zanzibar kuna sehemu nimesikia ukisimama unakuona Zanzibar kwa jicho ila distance sijui.
muungano ukivunjika? daraja nalo lipigwe mizinga?
Hio Mkuu Mwanakijiji ni wishful thinking to say the least.
Hilo halitatokea katika uhai wetu kamwe.
Zanzibar for Zanzibaris only
,,,Usipende kuona mawazo YAKO ndo ya WAZANZIBARI woote bana,kuna wengine tuna mawazo tofauti kabisa na wewe,,Mwanakijji hilo ni wazo zuuri sana,hakika kuna watu wanafikiria mbali,Muungano uwepo au usiwepo daraja litasaidia pande zote mbili KIUCHUMI na hata KIJAMII kwa ujumla,kwani tuna akina ANKALI zetu huko moro,akina AUNTIE zetu NATA NZEGA huko.

Wewe ni Mzanzibara na sio Mzanzibari ndio maana.
Mzanzibari hana mjomba wala shangazi Moro.

Wewe inaelekea sio mzanzibari wewe itakuwa either wakuja zanzibar au mropokaji nikuulize MTU ZANZIBAR ANAWEZA KUJIITA YEYE MZANZIBARI MZAWA!!!! Sema tukuaibishe sasa hivi.