mwandende
JF-Expert Member
- Feb 16, 2017
- 11,005
- 20,805
Sasa hizo nyumba walizopangiwa sio kanisa?Sijakataa Saudia wakisto wapo Nchi zote za kiaarabu wapo ila Nchi zote za kiarabu makanisa hamna labla Dubai japo siwezi kuweka asilimia [emoji817] Saudia nimekaa so usishupaze shingo.kuhusu kufanya ibada wana swali kwenye nyumba zao walizo panga hivi unaongelea Saudia ambayo hata kushikana mikono hadharani kwa watu wasio kuwa mke na mume ni adhabu ya kifo Wewe acha uwongo.
Hivi kuna mkristo anaendesha ibada peke yake bila padri?
Mwaka Jana kipindi cha Corona walioneka wakristo wa Saudia wakisheherekea xmass kwa kuvaa father xmass kabisa mitaani.
Kujifanya waislam Sana wa kuvaa kanzu wakati waislam wenyewe asili hata kanzu hawavai..
Ibada ya swala ya msaudia ni dk 2 kashamaliza..
Hana cha dua wala cha kuvuta uradi.
Wakati wewe muislam wa afrika unatumia dk 20 kwa swala moja.
Mambo ya kusikia yanashangaza sn.