Zanzibar: Kanisa la T.A.G pamoja na makazi ya Mchungaji wake Daudi Suna, yamebomolewa na wanaodaiwa ni wakazi wa eneo hilo

Sasa hizo nyumba walizopangiwa sio kanisa?

Hivi kuna mkristo anaendesha ibada peke yake bila padri?

Mwaka Jana kipindi cha Corona walioneka wakristo wa Saudia wakisheherekea xmass kwa kuvaa father xmass kabisa mitaani.

Kujifanya waislam Sana wa kuvaa kanzu wakati waislam wenyewe asili hata kanzu hawavai..

Ibada ya swala ya msaudia ni dk 2 kashamaliza..
Hana cha dua wala cha kuvuta uradi.

Wakati wewe muislam wa afrika unatumia dk 20 kwa swala moja.

Mambo ya kusikia yanashangaza sn.
 
Hapo hapo kwenye hiyo aya uliiyoniletea.

Kuna sehem Yesu amesali kanisani?
 
Ila unakuta misikiti ipo kwenye makazi ya watu bila kusahau makaburi ya waislamu yapo kati kati ya makazi ya watu...kama kuna jambo waislamu huwaga wanafeli hata aende shule mtu vipi linapokuja swala la imani...unakuta hio shule haimsaidii chochote kile hua anafanya maamuzi kwa kuzongatia udini....
 
Imani hugeuka ujinga na uwendawazimu even upumbavu kama itashindwa kuifungua akili yako wewe muumini ikubali kuwa lije jua ije mvua na kama zilivyo tofauti ardhi na mbingu lazima wapo na watakuwepo waliokuwa tofauti na unachokiamini wewe.

Hizi sarakasi zote kama zinafanywa na watu wanaolitamka jina la Mungu wakiwa hawajui wanachotamka hao waambiwe watajirekebisha ila kama zinafanywa na watu wanaotamka jina Mungu wakijifanya wanajua wanachotamka hicho wanachokiamini siyo dini bali kichaka cha wahuni na wendawazimu.
 
Kwann dini ya kiislamu huwa inaogopa Sana competition ya kiimani. Je ni dhaifu dhidi ya imani zingine?
Maana ni nature imani yeyeto dhaifu huwa inamezwa na imani imara.
Mfano dini za weupe zilikuwa na nguvu zaidi hadi zikazimeza dini za asili.
Kupiga kelele usiku ndio competition?
 
Ktk uislam tutakwita muadilifu kwa maneno yako haya
 
Yapo hapa jirani kwangu ni kelele tu mita Kama 50 hivi kuna kanisa lingine katoliki Wala hakuna mayoe Kama hawa TAG
 
TAG wana makelele unlike Lutheran na RC.
Na waislam nao kutumia maspika ni makele, piga adhana kawaida bila makelele makali ya maspika. Na siku hizi mbaya zaidi zinafungwa spika kwa nje inakua ni sauti mwanzo mwisho wakati ibada ikiendelea. Ni usumbufu ikiwa tunaishi jamii ya watu tofauti.
Mimi binafsi hata sherehe nyingi siendi sababu sipendi makelele ya spika, hasa maspika yenyewe tunayotumia ni fake sanasana yanakera na kuumiza masikio tu.

NB: Spika ni ugunduzi wa hivi majuzi, asije kichaa akasema ninapata dhambi kupinga vita matumizi ya maspika kuadhini, na kwa wale wa makanisa ya kilokole.
 
Ila haya makanisa yana kelele jamani, hawana ustaarabu kabisaaa. Sauti zinasikika 3 kanisani ila hizo kelele utafikiri mungu wao ni kiziwi. Mchana kutwa na usiku kucha makelele tuuuuu.
 
Na ww utuambie sehemu imeandikwa yesu aliingia msikitini
Nenda kwenye bible yko nyuma kaangalie maana ya hekalu hlf njoo utuonyeshe kwa picha

N.b. mm sina bible ila ningekua nayo ningekuekea hpa uone msikiti ndani ya bible
 
Mtu mweusi nayo ni silaha kama ilivyo bunduki, panga, sime. Naanza kuamini inawezekana kabisa majitu meusi yalikua manyani
 
Yesu alipokuja alikuwa ana abudu kwenye masinagogi ambayo ni misikiti ya wayahudu, nayeye Yesu akiwa ni myahudi, na kuitangua si kuibadilisha la bali kulitimiliza neno lake ambayo utalipata Yohana 1:1-5, na ndiyo maana manabii wakale waliandika habari zake kwamba atazaliwa Masihi, hivyo yeye ndiye njia ya kweli na uzima mtu haendi kwa Baba bila ya yeye, hivyo injili itahubiliwa tu hakuna wakuizuia kamwe.
 
Unasema kabla ya Yesu walikuwa na dini gani? Walikuwa wanamwabudu Mungu aliye hai pia wapo waliokuwa wanaabudu miungu
 
Mngekuwa mnawaheshimu wakatoriki mngewapiga risasi mapadre wawili? Acha unafiki father mmoja mlimuua kabisa na 1 alipotea chupuchupu
 
Mm Ni mkristo Ila makanisa Sasa yamezidi kuwa mengi na ulagai pia
Huwezi kumpangia Mungu kazi yake, hivi mpaka leo ingekuwa kanisa 1 tu watu wangemjua Mungu kweli kama dar kanisa liwepo kule tu kwa Baba Pengo hivi tutakuwa na akili kweli ? Mitume wenyewe baada ya Yesu kufa kufufuka na kupaa na wao walisambaa kwakuhubili injili, Petro alifia Roma huko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…