Artifact Collector
JF-Expert Member
- Mar 7, 2019
- 6,617
- 10,205
Acha uongo uyahudu umeanza miaka elfu 3000 kabla ya kristo kabla hata Muhammad hajazilwa mwaka 600 baada ya kristo acha porojo sinagogi ni sinagogi msikiti ni msikiti havina uhusiano wowoteSio nyumba ya ibada ni msikiti wa wayahudi.
Ndy maana vitabu vya dini vinatakiwa visifanyiwe editing.
Kuepuka binadamu kuandika kitu kwa utashi wake.
Kuna jamaa angu nilimtembelea anakaa goba ikifika ijumaaa hulali Wana Kesha ni makelele usiku kucha nikawa najiuliza inamaa wakisali kwa sauti ndogo Mungu hasikii ni kero sanaIla haya makanisa yana kelele jamani, hawana ustaarabu kabisaaa. Sauti zinasikika 3 kanisani ila hizo kelele itafikiri mungu wao ni kiziwi. Mchana kutwa na usiku kucha makelele tuuuuu.
dini za magharibu ujanja janja mwingi ili kuteka soko la waumini, halafu ni dini nyepesi zimelegeza makatazo mengi, watu wengi wanapenda urahisi rahisi.Kwann dini ya kiislamu huwa inaogopa Sana competition ya kiimani. Je ni dhaifu dhidi ya imani zingine?
Maana ni nature imani yeyeto dhaifu huwa inamezwa na imani imara.
Mfano dini za weupe zilikuwa na nguvu zaidi hadi zikazimeza dini za asili.
Uhuru wa kuabubu ni takwa la kikatiba hakuna ajuaye dhehebu lipi ni sahihi mbele za Mungu, na iman ni hakika ya mambo yatarajiwayo hivyo tusiwanyoshe vidole wenye imani tofauti na sisi kwa kuwaona kuwa wafanyacho wamepotoka.Niliiona jana hii habari, sema Wahusika wametulia kwa sababu wanajua walichokuwa wakifanya sio sahihi
Huwezi ukaejenga makanisa na kwenye makazi ya watu na kuwapigia kelele usiku kucha kwa miujiza ya kitapeli
Zanzibar hawapendi ujinga
Yapo makanisa kama Katoliki ambayo tunaheshimu na kuishi nao kwa amani, ila haya makanisa ya kijasiriamali yaliyojaa utapeli hayawezi kuvumilika.
Hakuna uhuru wa kuabudu usio na miaka, ndio maana hata serikali ilimfungia Nabii Tito pia imefungia Zumaridi
Kuna moja Hilo. Wanawasha mziki halafu wanaondoka watarudi jioni.Yapo hapa jirani kwangu ni kelele tu mita Kama 50 hivi kuna kanisa lingine katoliki Wala hakuna mayoe Kama hawa TAG
Dunia sio ngumu,kuishi sio utumwa,Mungu sio dikteta.dini za magharibu ujanja janja mwingi ili kuteka soko la waumini, halafu ni dini nyepesi zimelegeza makatazo mengi, watu wengi wanapenda urahisi rahisi.
Wao mbona misikiti inajengwa kila kona...tena kwenye makazi ya watu..lkn watu wala hawajali...Niliiona jana hii habari, sema Wahusika wametulia kwa sababu wanajua walichokuwa wakifanya sio sahihi
Huwezi ukaejenga makanisa na kwenye makazi ya watu na kuwapigia kelele usiku kucha kwa miujiza ya kitapeli
Zanzibar hawapendi ujinga
Yapo makanisa kama Katoliki ambayo tunaheshimu na kuishi nao kwa amani, ila haya makanisa ya kijasiriamali yaliyojaa utapeli hayawezi kuvumilika.
Hakuna uhuru wa kuabudu usio na miaka, ndio maana hata serikali ilimfungia Nabii Tito pia imefungia Zumaridi
Zanzibar kuna shida. Mwinyi anaanza kupwaya na uchumi wa buluuKanisa la T.A.G pamoja na makazi ya Mchungaji wake Daudi Suna yamebomolewa na wanaodaiwa ni wakazi wa eneo hilo wakishinikiza kuwa hawataki Kanisa katika eneo lao.
Hii ni kunyume kabisa na sheria za nchi zinazoruhusu Uhuru wa Kuabudu. Kama jambo halitafanyika basi ni wazi kuna kiongozi mbaguzi wa dini anaewalinda wabomoaji na pia hii itachochea sehemu nyingine makanisa na makazi ya wachungaji kubomolewa.
Pia miezi michache ijayo kipindi cha mfungo kikianza huwa ni marufuku kwa wakristo kula sehemu za wazi, ukikutwa unafungwa mpaka mfungo uishe, wengine huwa wanapigwa sana, sasa hapa ni kwamba mtu kama umeamua kufunga kwa imani yako iwaje hutaki kuona wenzako hawali, ni kwamba imani yako no nyepesi sana kuisimamia, kama ni hivyo kuna haja gani ya kufunga.
View attachment 2146530
View attachment 2146523
============================================
Taarifa uhakika juu ya tukio hilo ni kuwa Mchungaji David Victor Suna ni mzaliwa wa Sumbawanga, lakini kwa miaka mingi amekuwa akiishi Zanzibar baada ya familia yake kuhamia huko. Kaka yake naye ni mtu wa kanisani lakini anafanya shughuli zake Dar es Salaam.
Alipoanza harakati za kutafuta eneo kwa ajili ya kanisa alipata wakati mgumu kwa kuwa walikuwa wanamkatalia, baadaye akabadili gia na kutafuta eneo la kununua la kwake binafsi na siyo kwa ajili ya kanisa.
Baada ya kutafuta eneo lake binafsi ndipo akapata eneo hilo lililopo Sebleni, Unguja. Akanunua kwa Sh 16,000,000 (milioni 16) akalipa fedha taslimu, akasaini mkataba rasmi wa mauziano (tazama picha), japokuwa katika eneo hilo alikuta mmiliki tayari amejenga banda ambalo nalo lilikuwa sehemu ya mkataba wa manunuzi.
Baada ya kununua akajenga ukuta kuzungushia eneo husika kisha akaanza shughuli zake za ibada, baada ya majirani kubaini kuwa mnunuzi ameanzisha kanisa eneo hilo ndipo mgogoro ulipoanzia.
Wakamwabia hatakiwi kuwa na kanisa eneo husika lakini David Victor Suna akashikilia msimamo wake kuwa ataendelea na shughuli zake za kanisa.
Mhusika ambaye aliuza eneo hilo naye akamvaa David Victor Suna na kumtaka arejeshe eneo hilo kwa kuwa hakuuza kwa ajili ya kanisa bali kwa ajili ya kujenga makazi, bado David Victor Suna akagoma kubadilisha matumizi wala kurudisha eneo.
David Victor Suna akawa asisistiza kuwa yeyote mwenye malalamiko aende Mahakamani ambapo haki itatendeka, hata waliposhirikisha Serikali za mtaa nao wakawa wanamshawishi ama kubadili matumizi au kurejesha eneo, msimamo ukawa ni uleule.
Ndipo siku ya tukio, lilikuka bulldoza likaanza kuvunja eneo husika wakati wahusika wakiwepo wachache wakiendelea na ibada kama kawaida, kanisa likavunjwa na baadhi ya vitu vikiwemo viti vikaharibiwa na gari hilo.
Mamlaka za Serikali za mtaa hazijawa tayari kuzungumzia tukio hilo, naye David Victor Suna amekuwa mgumu kuzungumzia kinachoendelea kwa kile kinachodaiwa hajatulia hadi sasa.
SERIKALI YAINGILIA
Taarifa zinaelezwa kuwa Mkuu wa Wilaya wa eneo husika anatarajiwa kutolea ufafanuzi suala hilo mchana wa leo Machi 11, 2022.
Nitarudi kuwapa kilichoendelea kuhusu tamko la Serikali.
ITAENDELEA...
View attachment 2146667
View attachment 2146668
View attachment 2146670
View attachment 2146671 View attachment 2146672
Jamaa alitaka Yesu ashike chepe. Halafu kwake anajua maana ya kanisa ni nini?Kwakuwa umeuliza huku dhamira yako ikiwa tofauti moyoni mwako acha nikuelekeze kidogo.
Matayo 16:18-19
18 “Nami nakuambia, wewe ni Petro, na juu ya mwamba huu nitalijenga kanisa langu ambalo hata nguvu za kuzimu haziwezi kulishinda. 19 Nitakupa funguo za Ufalme wa mbinguni na lo lo te utakalolifunga duniani litakuwa limefungwa mbinguni na lo lote utakalofungua duniani litakuwa limefunguliwa mbinguni.”
Hili ni Agizo lake Yesu kwa Petro Na Sasa Jukumu la Petro juu ya mitume 12 linaonekana wazi mbeleni na hapo ndipo mwanzo wa kujengwa kwa Makanisa. Swali lingine...
Kwani shekhe Mazinde anasemaje mkuu kwenye kanda zake mnazosikiliza pale Mwembechai?Nitajie kanisa lililowahi kujengwa na Yesu japo moja tu.
Sorry mkubwa hivi unayafahamu makanisa ya TAG namna yanavyendesha ibada zao???Niliiona jana hii habari, sema Wahusika wametulia kwa sababu wanajua walichokuwa wakifanya sio sahihi
Huwezi ukaejenga makanisa na kwenye makazi ya watu na kuwapigia kelele usiku kucha kwa miujiza ya kitapeli
Zanzibar hawapendi ujinga
Yapo makanisa kama Katoliki ambayo tunaheshimu na kuishi nao kwa amani, ila haya makanisa ya kijasiriamali yaliyojaa utapeli hayawezi kuvumilika.
Hakuna uhuru wa kuabudu usio na miaka, ndio maana hata serikali ilimfungia Nabii Tito pia imefungia Zumaridi
Ww jamaa unaka ufwala hivi !!!Mm Ni mkiristo sioni sababu huyo mtumishi kwenda kufanya ujenzi ktk maeneo ya wanao ishi waislmu yaani unakwenda uarabuni kufungua kanisa hapan aise. usijaribu Imani za watu haondoke Hapo kbsa Tena ashukuru ajapigwa kipigo kikali mnk hvyo yey ndie mchokozi ..watu wasitafute usaw wa kidini hapa
Kenya umewahi sikia muslami kaw rais au hata kiongoz mkuu hkn hvyo vitu sas na huku iwe Hvyo uwez kwenda kufanya ibada Zanzibar Tena siku hz wamestarabika zamani waliwamwagia tindikali .....
Utapeli upi?Kuna moja Hilo. Wanawasha mziki halafu wanaondoka watarudi jioni.
Halafu wachungaji wao wamesomea utapeli sio dini.
Wake za wachungaji nao Wana nafasi kubwa Sana kanisani yaani Kama Salma Fulani hivi.
ww ni fara sanaa - Who are you to judge people kwa dini zao you stupid piece of shitNiliiona jana hii habari, sema Wahusika wametulia kwa sababu wanajua walichokuwa wakifanya sio sahihi
Huwezi ukaejenga makanisa na kwenye makazi ya watu na kuwapigia kelele usiku kucha kwa miujiza ya kitapeli
Zanzibar hawapendi ujinga
Yapo makanisa kama Katoliki ambayo tunaheshimu na kuishi nao kwa amani, ila haya makanisa ya kijasiriamali yaliyojaa utapeli hayawezi kuvumilika.
Hakuna uhuru wa kuabudu usio na miaka, ndio maana hata serikali ilimfungia Nabii Tito pia imefungia Zumaridi
jidanganye Duniani lazima uishi kigumu na kwa nidhamu ya hali ya juu, kumbuka kuwa na nidhamu siyo jambo jepesi kiivyo.Dunia sio ngumu,kuishi sio utumwa,Mungu sio dikteta.
Hilo ni kanisa bubuKabla ya kushabikia au kulaumu mleta habari ungepaswa kuelezea na kifafanua sababu za kuvunjwa kanisa hilo. Ulivyoandika ni kama uchochezi flani hivi. Any way ukweli utajulikana tu.
Matumizi ya ardhi yalikuwa ni yapi?Kanisa la T.A.G pamoja na makazi ya Mchungaji wake Daudi Suna yamebomolewa na wanaodaiwa ni wakazi wa eneo hilo wakishinikiza kuwa hawataki Kanisa katika eneo lao.