Zanzibar: Kanisa la T.A.G pamoja na makazi ya Mchungaji wake Daudi Suna, yamebomolewa na wanaodaiwa ni wakazi wa eneo hilo

Mkristo wa wapi wewe? Kwa hiyo kama wewe umezaliwa mkristo, ukaenda kwenye uislam inabidi uhamie msikitini?
 
Mbona waislamu wana misikiti ipo Ulaya na Marekani na maeneo yenye wakristo wengi na hakuna mtu anawabugudhi

Hata hapa Tanzania bara maeneo ya wakristo wengi misikiti ipo na hakuna mtu wa wakubugudhi
 

Mimi nataka unitajie kanisa lilijengwa na yesu wewe unaleta maagizo ambayo kama yalifanyika yesu mwenyewe hakuwepo?
 
Huwa ni kawaida mtu wao akiwa rais.
Kipindi cha awamu ya 2 na ya 4 makanisa mengi nchini kote yaliteketezwa Kwa moto na hakukuwa na hatua zozote zilizochukuliwa!
 

 
Sasa si uhamie huku uwe unakula mchana live
 

Je, una kithibitisho kuwa yesu aliingia kanisani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…