Zanzibar: Kanisa la T.A.G pamoja na makazi ya Mchungaji wake Daudi Suna, yamebomolewa na wanaodaiwa ni wakazi wa eneo hilo

Zanzibar: Kanisa la T.A.G pamoja na makazi ya Mchungaji wake Daudi Suna, yamebomolewa na wanaodaiwa ni wakazi wa eneo hilo

Tuliyasema haya ya Uhuru wa kuabudu.
Mkaona Sisi hatuna akili.

Yale yale ya mfalme zumaradi..

Kama inchi yetu haina dini hayo yanayotokea ni ya nini?

Serikali ndy inafuga upuuzi wote huu..
Ni yupi anayejiona Mungu wake ndy mkweli kuliko wengine?
 
Niliiona jana hii habari, sema Wahusika wametulia kwa sababu wanajua walichokuwa wakifanya sio sahihi

Huwezi ukaejenga makanisa na kwenye makazi ya watu na kuwapigia kelele usiku kucha kwa miujiza ya kitapeli

Zanzibar hawapendi ujinga
Ungekuwa msikiti ungebomolewa?

Wacha kushabikia upuuzi.
 
Twende mbele na turudi nyuma.
Haya makanisa ya TAG si ndiyo Yale ya kupiga mziki mnene masaa yote bila kuheshimu Uhuru wa watu wengine?
Watu wako watano kanisani lkn wameweka ma Ndugai huko nje.
Wanapiga mziki wakati Kuna watoto na magonjwa wamepumzika?
Lkn pia Huyo muchungachi alikua na leseni ya kuendesha Hilo kanisa hapo au watu mnalaumu tu.
Hapo Sasa si inabidi mamlaka ichukue hatua na sio watu kwenda kuvunja?
 
Mm Ni mkiristo sioni sababu huyo mtumishi kwenda kufanya ujenzi ktk maeneo ya wanao ishi waislmu yaani unakwenda uarabuni kufungua kanisa hapan aise. usijaribu Imani za watu haondoke Hapo kbsa Tena ashukuru ajapigwa kipigo kikali mnk hvyo yey ndie mchokozi ..watu wasitafute usaw wa kidini hapa
Kenya umewahi sikia muslami kaw rais au hata kiongoz mkuu hkn hvyo vitu sas na huku iwe Hvyo uwez kwenda kufanya ibada Zanzibar Tena siku hz wamestarabika zamani waliwamwagia tindikali .....
Kanisa lenyewe la walokole aacha kabsa hata mimi ningeshiriki japo ni mkristo
 
Ungekuwa msikiti ungebomolewa?

Wacha kushabikia upuuzi.

Una uhakika gani watakua wamebomoa waislamu!!! Ujerumani makanisa yanabomolewa inajengwa misikiti, so watu washaona ukweli na kuhamia upande wa pili.

Naheshimu sana imani ya wengine, lakini linapokuja suala la kulalamikiwa misikiti, misikiti ya Mwenyezi Mungu mara adhana, aisee hatutaelewana mzee.

Viongozi waliopita wa kikafiri kama wangelikuwa na jeuri ya kuzuia adhana wangekipata cha 🔥🔥🔥 lakini jeuri hiyo hawana.
 
Mbona waislamu wana misikiti ipo Ulaya na Marekani na maeneo yenye wakristo wengi na hakuna mtu anawabugudhi

Hata hapa Tanzania bara maeneo ya wakristo wengi misikiti ipo na hakuna mtu wa wakubugudhi
Umewahi kufika huko ULAYA??
 
Huwa ni kawaida mtu wao akiwa rais.
Kipindi cha awamu ya 2 na ya 4 makanisa mengi nchini kote yaliteketezwa Kwa moto na hakukuwa na hatua zozote zilizochukuliwa!
Nyie watu mbona wasahaulifu hivyo? wakati mungu wenu jiwe anapigiwa kelele awatoe uamsho mlisema sio yeye aliyewafunga jela haya tuambieni ni nani aliwatia ndani uamsho?
 
Back
Top Bottom