Zanzibar kukodisha/kuuza visiwa vyake: Iko vipi?

Dada yangu Si kisiwa kilichouziwa Bill Gates.
Hivi Sasa Kuna maeneo wameuzia wataliana , mswahili hairuhusiwi kwenda , labda wewe huko zenj umepelekwa ulaya kujiripua Na Hao wavamizi wazee wako kutoka Mkuranga
Lete mkataba acha umbeya
 
Sasa tuletee wewe usiye mzushi huo mkataba kuwa visiwa havijauzwa wala kukodishwa
Nyinyi munaona wivu sana zanzibar kuendelea na Zanzibar ndio iliyoifanya tanganyika baadhi ya watu wenu huko kustaarabika
 
visiwa 10 vilivyokwisha uzwa kwa sasa wananchi haturuhusiwi hata kuvikaribia, ukikaribia tu unakuta vibango vya tahadhari kuwa unaingia katika property ya watu bila ya ruhusa. Kuna fukweza mahoteli fulani pia wananchi tumekuwa haturuhusiwi kupita, kuogelea na hata wavuvi hawatakiwi kupita karibu sana na ufukweni. Tatizo ni kuwa serikali imeamua kutegemea 100% katika uchumi wa tourism. Kwa hiyo anachotaka muwekezaji anapewa na mwananchi hata apige kelele gani hasikilizwi.
 
12 June 2022
Unguja, Zanzibar
Tanzania

Rais Dr. Hussein Mwinyi : Zanzibar ina visiwa vidogo 54, cha ajabu nini baadhi ya vinavyofaa kukodishwa ?


Rais wa serikali ya mapinduzi Zanzibar na mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dr. Hussein Ali Mwinyi aelezea faida ya kukodisha visiwa vidogo na kuwa hili jambo halijaanza sasa maana hata Prison Island n.k ni visiwa vilivyopata kukodishwa kwa manufaa ya Zanzibar na hakuna ubaya kutumia tunu hizo kunufaisha taifa.
 
Tuache uongo rais mwinyi jambo hili alilifafanua vizuri sana
 

Kaiba kura Na kuuwa watu ili apater madaraka , Sasa nchi inamshinda kakimbilia kuchuuza visiwa, ni afadhali ya waomami Na njaa yao katu hawajafika huko kuchuuza visiwa
 
Acha unafiki unaona raha kwenda kuzurura m city kutwa nzima unajua kilichofanyika kwa wamiliki na UD.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…