Zanzibar Kumpokea Sultan Jamshid: Ziara ya Kihistoria Baada ya Miaka 60 Uhamishoni

Natamani kujua kiwnago chako cha elimu na status yako kiuchumi maana siyo kwa upuuzi huu wa kujivua nguo unaoandika hapa. Akili yako imekaa kitumwa na kamwe hutaweza kujisimamia.
 
Natamani kujua kiwnago chako cha elimu na status yako kiuchumi maana siyo kwa upuuzi huu wa kujivua nguo unaoandika hapa. Akili yako imekaa kitumwa na kamwe hutaweza kujisimamia.
badala ya kufanya personal attack, ungefafanua na kukanusha niliyoandika, nachojua sultani aliondoka mwenyewe kutokana na machafuko yaliyotokana na uchaguzi, hakupinduliwa.

sultani alipitia dar na badae kwenda UK akiwa huru, nachojua hakuna mahakama iliyomtia hatiani na hakuna mtu wala taasisi liyomfikisha mahakamani

alishapewa presidential amnesty wakati wa utawala wa salmin na hiyo amnesty haijawahi futwa. sasa gama unazo hoja ziweke tu sio kutukanana na kuvunjiana heshima.
 
Katika bold italics, ndio ujue upumbavu wa waarabu.
Babu zao waliteka na kuwauza babu zetu.
Hawaliongelei hilo, sasa kibao kiliwageukia tarehe 12/1/1964, ndiyo unaona wanafikiria crimes against humanity.
Utafikiri slave trade waliyoendesha babu zao haikuwa crimes against humanity.
Mkuki kwa nguruwe, kwa binadamu mchungu.

HYPOCRISY OF THE HIGHEST ORDER.
 
SAWA mwambie MAMA yako amruhusu akanyage.
 
Familia za Masultani Zanzibar zimesafirisha Waafrika zaidi ya milioni 20 kwenda Utumwani Uarabuni Persia na India, halafu ukijiuliza mbona leo Uarabuni waafrika sio wengi kama Amerika na Brazil kumbe walikuwa wakipondwa Korodani zao ili wasizae ili wafanye kazi tu.

Huyu Sultani akitia mguu akamatwe angalao afie Gerezani.
 
Akaribishwe noah na mvinyo kwenye hoteli ya kitalii
 
saudia ni jangwa walienda kufanyakazi gani? dont paint a white cat black na kumwita kimburu, watumwa hawakwenda uajemi, walipelekwa kwenye mashamba trinidad haiti tuvalu na florida,
 
utawala wa sultan ndio uliokomesha utumwa ukishirikiana na serikali ya uiengereza, historia haionyeshi kuwa watumwa walipelekwa oman
 
utawala wa sultan ndio uliokomesha utumwa ukishirikiana na serikali ya uiengereza, historia haionyeshi kuwa watumwa walipelekwa oman
Mwingereza ndiye aliyekomesha Utumwa bila Mwingereza Mwarabu angeendelea na biashara hiyo mpaka kesho kiama.
 
utawala wa sultan ndio uliokomesha utumwa ukishirikiana na serikali ya uiengereza, historia haionyeshi kuwa watumwa walipelekwa oman
Baada ya kuvumbua mashine,na kuona sasa watumwa sio dili,,, hawakufanya hivyo sababu waliwahurumia sana watumwa ila ni maslahi,,,,,,na mwarabu angeendelea vipi na biashara ya utumwa wakati wanunuzi walishapata mbadala,,,,....
 
Mwarabu hajavumbua machine yeyote Mzungu ndiye aliyemuuzia.
Nilimaanisha baada ya,wazungu kuingia kwenye mapinduzi ya viwanda walivyovumbua mashine ndo wakaanza kupiga kelele za kusitisha utumwa, na mwarabu alikua dalali kwahio biashara ikafa, wakaanza sasa kutengeneza soko la bidhaa zao zinazotengenezwa na hizo mashine,,,,,kwahio jamaa anavyosema walisitisha biashara ya utumwa, hawakufanya hivyo sababu waliwahurumia watumwa bali ni maslahi tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…