Zanzibar Kumpokea Sultan Jamshid: Ziara ya Kihistoria Baada ya Miaka 60 Uhamishoni

Kwa hii makala, umejishusha hadhi. Kumbe wabaya wa JPM mnaumbuka taratibu
 
Kwanini ujinga huu uko Afrika?
Je waliumbwa kuwa watumwa ?
Je Waafrika ni.low mind being?
Je Qadrika wanahitaji kutawaliwa tena?
 
Aisee hii nchi ina laana, vijana wamekua watu wa hovyo kabisa, mtu analeta mada humu na watu wanachangia tu, bila hata kucheck google kuhusu anae jadiliwa. Sasa sijui ni upumbavu au ni ujinga,, mie nawaachia muamue wenyewe
Jamshid Died: December 30, 2024 (age 95 years)
 
Mada imekuja tarehe 28/12/2024, na Jamshid amekufa tarehe 30/ 12/ 2024.

Bado unajiona una akili kwa ukichoandika?
 
Mada imekuja tarehe 28/12/2024, na Jamshid amekufa tarehe 30/ 12/ 2024.

Bado unajiona una akili kwa ukichoandika?

Atafika lini Yakhe? Tanzania ina wenyewe....sisi wengine wapita njia.

Mwenye masikio na asikie.....
 
Na hapo mburukenge wavaa makubazi, wakishampokea, hujiona kama Eron musk, na kuona wamefanikiwa Sana kama vile kwenda kwenye sayari za mbari!
Watu weusi bongo ziliishaoza, huyo shekh mwenyewe Hana umaarufu kwenye ulimwengu wa wa Arab wenzie, ana umaarufu kwa mijitu mieusi tu,
 
Nimeamini ndoto zangu ni za kweli....kuna wajerumani wanakujaga kinyemela kuzuru Tanganyika ipo siku watapata ukaribisho.....
 
Bahati mbaya amefariki siku ya Jana 40Dec 2024
 
Kwa nn wapange ziara ya kuja alaf ghafla kafariki, au walijua hawezi kutoboa mpaka hiyo tarehe 09????
Wanasema hawakuwa mpango huo.....ilikuwa ni story kufikirika tuuuu
 
Wewe ni FaizaFoxy
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…