Zanzibar kuna fursa gani za manual labour?

Nenda kizimkazi Yale Yale ya jiwe kupelek bank kubwa ya crdb kijini kwao chato ndio hayo hayo samia anafanya leo kapeleka nmba kwao huko mtaani

Kwa kifupi nenda kizimkazi Kuna kuanua matent kesho
 
Mkuu yehodaya umeongea ukweli mtu

Mm Niko Hapa ddoma Ni mji unao jengwa Sana wageni na ndio vibarua na wegani ndio wanajenga mno

Sasa jusi Kati nilikuwa na shida ya vibarua wanne wasadie kumimina beem aloo tulizunguka mtaa mzima hakn anataka kazi hyo

Ndio nimegundua maendeleo ya wanyeji ni duni Sana na watabaki hvyo for the rest sijawai ona wapuuzi Kama wagogo Ni wavivu kupita maelezo
 
Mkuu labda ungetupa mwanga ni kazi za aina gani na malipo yapoje maana nataka niende kesho asubuhi na mapema
 
Asante sana mkuu, Mungu akuzidishie.

Naomba kuuliza maswali mawili kama hutojali;

1. Tukifika kwa Chief umesema tuombe kazi yoyote, sasa kwakua ni kiwandani, tubebe na nguo za kazi tofauti na mavazi smart tutakayoenda nayo?

2. Kama mtu una taaluma fulani (kwa hapa tuseme usimamizi), kuna haja ya kubeba copy za vyeti na cv?
 
Mkuu mimi nipo Iringa sio mbali na Dodoma kama kuna kazi inahitaji mtu naomba nizingatie. Ikiwepo sehemu ya kulala tu inatosha kabisa
 
Nenda kizimkazi Yale Yale ya jiwe kupelek bank kubwa ya crdb kijini kwao chato ndio hayo hayo samia anafanya leo kapeleka nmba kwao huko mtaani

Kwa kifupi nenda kizimkazi Kuna kuanua matent kesho

Asante mkuu japo najikusanya hapa ili tarehe 5 ndo nisafiri.
 
Mkuu labda ungetupa mwanga ni kazi za aina gani na malipo yapoje maana nataka niende kesho asubuhi na mapema

Kaka, usha'confirm kama unaenda kesho?
 
Wakuu kuna alieenda leo?
 
Wakuu kuna alieenda leo?
Ni PM nikupe direction sehemu moja ya kazi ila sio connection moja kwa moja ina konakona unaweza pata 7000 per day na ukafanyiwa connection ya kupata position nzuri ila sio kazi rahisi
 
Ni PM nikupe direction sehemu moja ya kazi ila sio connection moja kwa moja ina konakona unaweza pata 7000 per day na ukafanyiwa connection ya kupata position nzuri ila sio kazi rahisi

Sawa mkuu.
 
Jumatano nitaenda hapo japo hujatubia muda mkuu.
 
Jumatano nitaenda hapo japo hujatubia muda mkuu.

Mkuu najua binadamu tunatofautiana hali za maisha na mahitaji ila binafsi sikushauri uende huko maana hakuna future.

Malipo kwa siku ni 4,000/= tshs kwa mnaojifunza na ukiajiriwa unakua unalipwa 5,000/= kwa siku. On top of that, kupata nafasi sio guaranteed.

NI UTUMWA, TO SAY THE LEAST.
 
Duuh buku 4!! Mkuu vipi bakhressa ulienda au nako ni kama huku kwa buku 4.!!?

Na kwanini unataka kuibukua Zenji kwa kazi hizi hizi mkuu kwani dsm hazipo??
 
Duuh buku 4!! Mkuu vipi bakhressa ulienda au nako ni kama huku kwa buku 4.!!?

Na kwanini unataka kuibukua Zenji kwa kazi hizi hizi mkuu kwani dsm hazipo??

Bakhresa sikwenda chief ila alieenda alisema hapafai pia. Kazi ni ngumu mno, masaa ya kazi ni 12 per day, malipo ni 7,000/= ila yanaweza kuongezeka ama kupungua kutokana na wingi wa kazi kwa siku husika na ukifanya kazi leo, malipo unatumiwa Azam pesa kesho yake.
 
Duuh buku 4!! Mkuu vipi bakhressa ulienda au nako ni kama huku kwa buku 4.!!?

Na kwanini unataka kuibukua Zenji kwa kazi hizi hizi mkuu kwani dsm hazipo??

Nataka kwenda Zanzibar kwaajili ya malengo tu mkuu maana me nasaka vibarua ila nina elimu kidogo hivyo naangalia sehemu yenye uwezekano wa kupata nafasi ya kuongeza uzoefu wa kazi ili niajirike hapo mbeleni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…