Zanzibar kuna fursa gani za manual labour?

Vipi mkuu fursa Bado ipo ninaweza kuja? Mimi ninaishi maeneo ya vingunguti.
 
Mbona unamkatisha tamaa mwenzio mkuu, malengo tumetofautiana.

Kuna mtu hata buku ya kula ni tabu, kama nafasi ipo mshauri jinsi ya kupata. Yeye mwenyewe ndio aahirishe.
 
Mbona unamkatisha tamaa mwenzio mkuu, malengo tumetofautiana.

Kuna mtu hata buku ya kula ni tabu, kama nafasi ipo mshauri jinsi ya kupata. Yeye mwenyewe ndio aahirishe.

Kama ni maelezo yote kuhusu hiyo kazi nilishayatoa A-Z. Yeye kuniuliza kama bado kuna nafasi na wakati nilishaeleza kila kitu hapo nyuma, kwangu nilichukulia kama naombwa ushauri na ushauri wangu ni ASIENDE.

Mimi mwenyewe hiyo buku ya kula sina ila ifike pahala tusiendeshwe sana na njaa. Kuliko kufanya kazi masaa zaidi ya 10 halafu ulipwe 4,000/= si bora ukaombe kusafisha migahawa ya watu usiku upewe chakula na malipo.
 
Kua bora au kutokua bora yeye ndo achague mkuu. Hicho kiwanda hakina watu? Si wapo, kuliko ufe njaa ndani ni borq ukafanya hiyo ukiendelea kutafuta next move.
 
Kua bora au kutokua bora yeye ndo achague mkuu. Hicho kiwanda hakina watu? Si wapo, kuliko ufe njaa ndani ni borq ukafanya hiyo ukiendelea kutafuta next move.

Sawa mkuu, wacha tuone.
 
Kufundisha madem wa kizungu kuogelea kwenye fukwe za zenchi wanatoa hela nzuri tu
Mkuu nipo Zanzibar naomba kama utakua unajua namna ya kupata connection ya kuanza kuwafundisha maana ninao huo UJUZI Mkuu.

Lakini si mwenyeji hapa Mjini nipo chuo fulani hapa Unguja.

Imani yangu nitasaidiwa[emoji120]
 
Nchi yoyote inayo tawaliwa kislamu siyo nzuri kutafuta maisha
 
😂hakuna kitu kama hicho mkuu, don't even sweat it.
 
Nchi yoyote inayo tawaliwa kislamu siyo nzuri kutafuta maisha
Sijafika middle east kwahiyo siwezi kutoa jibu jumuishi ila kwa Zanzibar sio kweli. Binasfi tofauti na upweke na kujihisi sipo nyumbani, sikukutana na changamoto nyingine yoyote Zanzibar.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…