Zanzibar kuna fursa nyingi ila umaskini umetamalaki

and 300

JF-Expert Member
Joined
Jun 27, 2012
Posts
26,398
Reaction score
36,406
Kwa masikitiko makubwa pamoja na fursa zilizopo Zanzibar hususani utalii wa fukwe na Mali kale. Umaskini umetamalaki. Wengi wa wananchi wanaishi katika Hali mbali kiuchumi.

Ukihesabu ndege zinazotua ABEID AMANI KARUME INTERNATIONAL AIRPORT na hotel za kitalii zilizopo Zanzibar. Usingetarajia watu wawe Maskini wa kuuza urijali wao Kwa wataliii wa kizungu Kwa ujira wa 50USD
 
Yaan pamoja na mabilioni yote yanayotumwa huko kila mwezi bado watu ni maskini? nasikia wakikopa serikali ndiyo ulipia riba, mafuta ya petrol nk bei chini kama nchi za ghuba, sukari utafikiri uko cuba au Brazil, kama bado ni masikini sana basi hawa jamaa ni wavivu sana.
 
Kuuza urijali wao sio umaskini ndio moja ya fursa hizo za utalii na kwa taarifa yako wanaoenda kufanya umalaya Zanzibar wala sio Wazanzibar ni Wabara na mataifa mengine ya Kiafrika.

Hakuna vijana wanaoongoza kwa kugeuzwa na hao Watalii kama Wamasai na Vijana wengine wa Arusha wanaojifanya mabeach boy, low season ndio utawaonea huruma.
 
Sawa kuna umaskini ila mimi naomba maana ya hili neno tu lilipo kwenye kichwa cha habari

umetamalaji​

 
Endapo mimama ya kizungu inakwenda kwa ajili ya shukuli hiyo unataka vijana wafanyaje?, na wakikatisha shughuli hiyo huenda hiyo mimama ikatafuta destination nyingine 😁😁😁
  • Hulka za Kiarabu
  • Hakuna umasikini mkubwa vile mtoa mada alivyoeleza
  • Zanzibar maisha ni mazuri zaidi kuliko bara.
 
Hivi hizo stories za wanaume kufanywa ni kweli huko zanzibar? Na ni wazanzibar au wakuja?

yani unaanze mwanaume kumvulia nguo mwanaume mwenzio?anakutongoza au unataka mwenyewe bado sielewi
 

Tangulini wakawa na akili,ukiongeza wahuni wa ccm ndio kabisa hali lazima iwe ngumu zaidi,zenji pemba kuna nuka ufukara
 
Hii thread bila ya official statistical data ni chuki binafsi za kutawaliwa na Hangaya, au chuki za kidini.

Weka data tuchambue na kulinganisha.
 
Ili kuleta Ustawi wa jamii inahitajika sera murua za kuwainua watu kiuchumi na wao pia wawe tayari kukamatia fursa.

Visiwa kama vya Zanzibar sijui wanakwama wapi,wakajifunze Shelisheli au Mauritius
 
Takwimu za watoto kuingiliwa kinyume na maumbile ziko juu sana Zanzibar, nao hufanyiwa na Watanganyika?
 
Uzi unazungumzia Utalii, hayo ya watoto fungua uzi wako
Yule polisi alielawitiwa Zanzibar na yeye na mtanganyika.


Zanzibar Kuna uchafu sana. Kuna vijana wa kizanzibar ninawajua wameolewa Italy.


Nakuomba ujisemee wewe usisemee wengine
 
Yule polisi alielawitiwa Zanzibar na yeye na mtanganyika.


Zanzibar Kuna uchafu sana. Kuna vijana wa kizanzibar ninawajua wameolewa Italy.


Nakuomba ujisemee wewe usisemee wengine View attachment 2773238View attachment 2773240
Wewe acha wenge mada inazungumzia utalii na vijana kuuza urijali wao, kama umeshawahi kufika Znz hilo huwezi kupinga Wamasai na Vijana wa Arusha wanainamishwa sana na Wazungu.... high seasons Waafrika wanatoka sehemu mbali mbali kuja kujiuza,

Hakuna sehemu isiyofanya uchafu ila linapokuja suala la utalii wa Znz wafanya uchafu ni Wabara na Nchi jirani,

Nenda Nungwi kajionee.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…