Dream Queen
JF-Expert Member
- Nov 4, 2015
- 8,263
- 18,201
Zanzibar hujafika utayajua wapi,Naona amesema wanaofanya umalaya huko znz ni wabara,ikiwa ameweza kuthibitisha hilo bila kificho atakuwa kinara wa kutenda hayo maovu.
Na nahisi anazo data za kutosha kwamba huwa anaondoka na wangapi wenzie kutoka huku bara kukamilisha idadi ya watenda maovu kiasi asionekane hata mpemba mmoja akifanya hayo maasi.
Nendeni Nungwi mkajionee hao ndugu zenu wa Kimasai na Kiarusha wanavyoinamishwa na Wazungu tena wanagombea kabisa [emoji119],
Poleni sana kwa maumivu ila huo ndio ukweli mchungu, tamaa za kwenda Ulaya zinawaponza hadi wanauza Urijali wao