Yesu Anakuja
JF-Expert Member
- Apr 10, 2019
- 12,675
- 25,924
sasa unategemea nini ndugu yangu, wanachofaidi ni kuwaona wazungu tu, ila wamiliki wa hotels hao wataliano na wazungu wengine, malipo yanalipwa kulekule ulaya kwenye accounts zao, hapa wanakuja na kandambili tu kila kitu kilishalipwa nje. migahawa wanakula ile ya kizungu tu, ila ya wapemba wanaonja tu hawali kiukweliukweli, kwahiyo mzunguko wa pesa upo mikononi mwa wazungu tu waafrika hawawezi kuugusa. na marinda wanawatoa vilevile, na madawa ya kulevya ndio maana mapapai yamejaa huko.Kwa masikitiko makubwa pamoja na fursa zilizopo Zanzibar hususani utalii wa fukwe na Mali kale. Umaskini umetamalaki. Wengi wa wananchi wanaishi katika Hali mbali kiuchumi.
Ukihesabu ndege zinazotua ABEID AMANI KARUME INTERNATIONAL AIRPORT na hotel za kitalii zilizopo Zanzibar. Usingetarajia watu wawe Maskini wa kuuza urijali wao Kwa wataliii wa kizungu Kwa ujira wa 50USD