Zanzibar kuna fursa nyingi ila umaskini umetamalaki

sasa unategemea nini ndugu yangu, wanachofaidi ni kuwaona wazungu tu, ila wamiliki wa hotels hao wataliano na wazungu wengine, malipo yanalipwa kulekule ulaya kwenye accounts zao, hapa wanakuja na kandambili tu kila kitu kilishalipwa nje. migahawa wanakula ile ya kizungu tu, ila ya wapemba wanaonja tu hawali kiukweliukweli, kwahiyo mzunguko wa pesa upo mikononi mwa wazungu tu waafrika hawawezi kuugusa. na marinda wanawatoa vilevile, na madawa ya kulevya ndio maana mapapai yamejaa huko.
 
Kwa MAPAPAI Ni wengi Hadi aibu
 
Hii thread bila ya official statistical data ni chuki binafsi za kutawaliwa na Hangaya, au chuki za kidini.

Weka data tuchambue na kulinganisha.
Nenda tovuti ya NBS kwa sensa ya 2022 utapata viashiria vyote utakavyo.
 
Majini ni mengi zaidi ya watu huko Zanzibari.
 
Umesema kweli Queen. waambie waje waone
 
Hivi hizo stories za wanaume kufanywa ni kweli huko zanzibar? Na ni wazanzibar au wakuja?

yani unaanze mwanaume kumvulia nguo mwanaume mwenzio?anakutongoza au unataka mwenyewe bado sielewi
Wanaume kutoka bara ndo wanaliwa matako zanzibar. Njoo ujionee mwenyewe.
 
Wazanzibari wengi ni wavivu! Na siku Tanganyika ikiacha kuwalea, ndipo akili zitawakaa sawa. Ila kwa sasa sioni kama wana tofauti na kupe.
Njoo zanzibar uwaone ndugu zako wabara wanavyonyanyasika. Halafu katafute wazenj wanaonyanyasika Bara! Usikariri tu
 
Ili kuleta Ustawi wa jamii inahitajika sera murua za kuwainua watu kiuchumi na wao pia wawe tayari kukamatia fursa.

Visiwa kama vya Zanzibar sijui wanakwama wapi,wakajifunze Shelisheli au Mauritius
Wabara mkihama Zenj kila kitu kitakua poa
 
HV una akili timamu wew mbuzi unawauzisha vijana wa Arusha. Na wamasai na upuuzi wa kufirana
 
Uzi unazungumzia Utalii, hayo ya watoto fungua uzi wako
Mara zote ukiulizwa swali kutokana na post unayotuma humu ukaona hauna angle ya kujificha unakimbilia kauli za ”fungua uzi wako fungua uzi wako”kwani hii thread imekuwa sheria kwamba member haruhusiwi kuuliza swali lililo nje ya mada?

Hao wazanzibaa ni kina nani wana nini special hata wasiweze kufanya uchafu hadi udhani mnaofanya ni ninyi wabara tu,jibu swali kulingana na content inavyosema siyo unagandisha mada na maswali yale yale unayoona wewe yanafaa.
 
HV una akili timamu wew mbuzi unawauzisha vijana wa Arusha. Na wamasai na upuuzi wa kufirana
Naona amesema wanaofanya umalaya huko znz ni wabara,ikiwa ameweza kuthibitisha hilo bila kificho atakuwa kinara wa kutenda hayo maovu.

Na nahisi anazo data za kutosha kwamba huwa anaondoka na wangapi wenzie kutoka huku bara kukamilisha idadi ya watenda maovu kiasi asionekane hata mpemba mmoja akifanya hayo maasi.
 
uliskia wap mamwinyi wanataman utajiri? wao hujali zaidi kuwa watawatawala
 
Hongera kwa kunifatilia naona unapata tabu sana na bado hujasema hadi usemeeeeeee, [emoji23]

Itakua hata kwenye somo la Ufahamu mlikua mnapata sifuri, mada inazungumzia utalii badala ya kujibu hoja kuhusiana na mada unaleta mengine kwanini usiambiwe?

Halafu hapo mnawasema Waswahili wakati ndio waliowafundisha Lugha na Ustaarabu wote.
 
Lakini kulala usiku zulia moja vijana wakizazibari zaidi ya watano nisahihi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…