Pale Forodhani nilikula mishikaki miwili ya samaki na maji ya matunda bili ikaja elfu 68 yaani wizi mtupuNimetembelea huu mji, kwa kweli ni mji ambao bado watu wamelala, migahawa ya kumulika kwa tochi vyakula havieleweki, nimeenda hadi forodhani yaani nyama za pale bei juu alafu hazina mvuto yaani rafu rafu tu
Barabara za lami kama wamemwaga zege yaani , mainjinia sijui wameajriwa kwa kazi gani, nimehisi nimerudi dar es salaam ya mwaka 2000 ,or ndio mji wa kitalii labda
Labda nipewe chimbo huenda nimeenda sehem sio lakini kwaweli ni majanga sana hapa
Huyo kafikia Jang'ombe ndio maanaSehemu zilizopangika zipo kama Kijichi, Chukwani n.k,
Hotel nzuri zipo shamba, Mbuzini, Matemwe, Nungwi au atembelee Tunguu huko
Pole sana[emoji23][emoji23][emoji23]pale forodhani nikula mishikaki miwili ya samaki na maji ya matunda bili ikaja elfu 68 yaani wizi mtupu
Mkuu duniani kote kwenye mahoteli makubwa lazima panakuwa super sababu ni sehemu ya biashara za watu binafsi si serikali.Nenda kwenye 5 star hotels pande za shamba(Nungwi,Kiwengwa,Matemwe) au nenda kusini (Jambiani,Paje,Kizimkazi nk
upate radha ya Zanzibar.
Hata Ulaya nzima hawazitaki skycrapersUlitegemea kukutana na skyscrapers ndani ya Mji Mkongwe?
We ulijua bill ni buku 5.....dah...walikuumiza mno😂😂pale forodhani nikula mishikaki miwili ya samaki na maji ya matunda bili ikaja elfu 68 yaani wizi mtupu
Pitia hapo mchamba wima Kwa anko Makame akupe HaluwaaNimetembelea huu mji, kwa kweli ni mji ambao bado watu wamelala, migahawa ya kumulika kwa tochi vyakula havieleweki, nimeenda hadi forodhani yaani nyama za pale bei juu alafu hazina mvuto yaani rafu rafu tu.
Barabara za lami kama wamemwaga zege yaani , mainjinia sijui wameajriwa kwa kazi gani, nimehisi nimerudi Dar es Salaam ya mwaka 2000 ,or ndio mji wa kitalii labda.
Labda nipewe chimbo huenda nimeenda sehem sio lakini kwaweli ni majanga sana hapa.
Lipeni kodi ya uzalendo tuijenge Zanzibar yetu.Mkuu duniani kote kwenye mahoteli makubwa lazima panakuwa super sababu ni sehemu ya biashara za watu binafsi si serikali.
Na sehemu ya kumpa mtu real life picture ni maeneo wanakoishi wananchi wa kipato cha kati, mfano kwenye majengo ya michenzani au mji mkongwe, pale ndipo palipaswa kuwa kivutio, siyo mahotelini asee!, Ndiyo maana hata watasha kutwa wanakuja kushinda mitaani huku mwembeladu, kwa mchina, forodhani au darajani.
Hotelini ni kwenda kupiga usingizi tu.
Akaenda kutembea Matarumbeta kupitia kidongo chekundu, tayari kishachoka anaanza lawama!!Huyu kafikia Jang'ombe [emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji125][emoji125][emoji125][emoji377][emoji377][emoji377]
Kuhusu misosi ipo mizuri tu,ukitoka bandalini,ukifika kwenye mataa,kata kulia ulizia jumba la trein,Kuna mgahawa mzuri tu,msosi wa nguvu,au ulizia ukumbi wa ccm,Kuna misosi mizuri sana kama Dar vileNimetembelea huu mji, kwa kweli ni mji ambao bado watu wamelala, migahawa ya kumulika kwa tochi vyakula havieleweki, nimeenda hadi forodhani yaani nyama za pale bei juu alafu hazina mvuto yaani rafu rafu tu.
Barabara za lami kama wamemwaga zege yaani , mainjinia sijui wameajriwa kwa kazi gani, nimehisi nimerudi Dar es Salaam ya mwaka 2000 ,or ndio mji wa kitalii labda.
Labda nipewe chimbo huenda nimeenda sehem sio lakini kwaweli ni majanga sana hapa.
Wenyewe mnakili mnawanyonya Watanganyika leo mnataka kodi ya uzalendo!.Lipeni kodi ya uzalendo tuijenge Zanzibar yetu.
Uko ulipo pataja hapafikii hata kijitonyama, Mikocheni, barabara mbovu , uko ulipo pataja kiwengwa, matemwe nungwi ndo hovyo kabisa wananchi wanaish vijumba vibovu hakuna maendeleo yoyote , hafu hakuna nyumba zaki fahari kabisa Yan, nyumba zao hawa pigi plasta nje, kwaiyo nyumba karibia zote nje hazija pigwa plasta.Unaongea kama kichwani kwako kumefungwa nati badala ya ubongo. Umeshafika maeneo ya Mbweni, Mwambasa, Mazizini, ukajionea hayo maeneo yaliyopangika au hapo ulipofika ndio unaona umefika?
Kuhusu five star hotel nenda maeneo ya shamba huko Matemwe, Kiwengwa, Pwani Mchangani, Nungwi Jambiani, Paje kisha uje na mrejesho hapa.
Nadhani hulika ya kiswahili na kuridhika na vitu viduchu inawafanya wawe nyuma.Japokuwa sijawahi kufika Zanzibar ila pia sijawahi kabisa kuvutiwa na hicho kisiwa, Yani ni pa hovyo mno .. wamepita Marais wengi lakini hakuna kinachobadilika ..