pale forodhani nikula mishikaki miwili ya samaki na maji ya matunda bili ikaja elfu 68 yaani wizi mtupu
ndio haohao wezi wa bei ya vyakula wapo cocobeach wazanzibar
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
pale forodhani nikula mishikaki miwili ya samaki na maji ya matunda bili ikaja elfu 68 yaani wizi mtupu
Kwanini uumizwe na maisha ya Wazanzibari wakati sio maisha yako? Ishi maisha yako na achana na maisha ya watu wengine!!Umepaniki sana. Tulia....wewe si mkazi wa zanzibar....ngoma siyo yako why unaivalia kibwaya? Tulia......
Kama hujawahi fika huo uovyo, umeuonaje[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Japokuwa sijawahi kufika Zanzibar ila pia sijawahi kabisa kuvutiwa na hicho kisiwa, Yani ni pa hovyo mno .. wamepita Marais wengi lakini hakuna kinachobadilika ..
Umepaniki sana. Tulia....wewe si mkazi wa zanzibar....ngoma siyo yako why unaivalia kibwaya? Tulia......Kwanini uumizwe na maisha ya Wazanzibari wakati sio maisha yako? Ishi maisha yako na achana na maisha ya watu wengine!!
Wewe ni kama mimi kila nikiwaza kwenda zenji nasema bora niende kigamboniJapokuwa sijawahi kufika Zanzibar ila pia sijawahi kabisa kuvutiwa na hicho kisiwa, Yani ni pa hovyo mno .. wamepita Marais wengi lakini hakuna kinachobadilika ..
Ninachoelewa sote ni binaadamu na wote ni Watanzania na kila mtu anaishi maisha yake! Uonavyo wewe kwa maisha yake sivyo yeye aonavyo kwa maisha yako, ndio maana unatakiwa uishi maisha yako achana na maisha ya wengine, huo ni utumwa wa fikra!!Umepaniki sana. Tulia....wewe si mkazi wa zanzibar....ngoma siyo yako why unaivalia kibwaya? Tulia......
Mimi nilienda huko nikapanda daladala namcheck konda eti kapaka uwanja aah..sikumweka nikamuuliza ...eti ananiambia ni sunah hiyo ...eeh nikabaki nashanga hawa watu wanaishi maisha ya Karne gani sijui .Nimetembelea huu mji, kwa kweli ni mji ambao bado watu wamelala, migahawa ya kumulika kwa tochi vyakula havieleweki, nimeenda hadi forodhani yaani nyama za pale bei juu alafu hazina mvuto yaani rafu rafu tu.
Barabara za lami kama wamemwaga zege yaani , mainjinia sijui wameajriwa kwa kazi gani, nimehisi nimerudi Dar es Salaam ya mwaka 2000 ,or ndio mji wa kitalii labda.
Labda nipewe chimbo huenda nimeenda sehem sio lakini kwaweli ni majanga sana hapa.
Umepaniki sana. Tulia....wewe si mkazi wa zanzibar....ngoma siyo yako why unaivalia kibwaya? Tulia......Ninachoelewa sote ni binaadamu na wote ni Watanzania na kila mtu anaishi maisha yake! Uonavyo wewe kwa maisha yake sivyo yeye aonavyo kwa maisha yako, ndio maana unatakiwa uishi maisha yako achana na maisha ya wengine, huo ni utumwa wa fikra!!
Kwani mkazi wa Zanzibar ni nani, ana nini ambacho mimi sina?Umepaniki sana. Tulia....wewe si mkazi wa zanzibar....ngoma siyo yako why unaivalia kibwaya? Tulia......
Kutembea ni kusoma, ukimshangaa aliyepaka wanja je vipi ukitembelea maeneo mengine ukikutana na wanaume wanavaa shanga kiunoni? Vipi halikushangazi la kuvaa shanga?Mimi nilienda huko nikapanda daladala namcheck konda eti kapaka uwanja aah..sikumweka nikamuuliza ...eti ananiambia ni sunah hiyo ...eeh nikabaki nashanga hawa watu wanaishi maisha ya Karne gani sijui .
Umepaniki sana. Tulia....wewe si mkazi wa zanzibar....ngoma siyo yako why unaivalia kibwaya? Tulia......Kwani mkazi wa Zanzibar ni nani, ana nini ambacho mimi sina?
Wewe hujawahi kufika huko tena vipi unatoa hukumu eti pa ovyo mno? Unanishangaza Wallahi.Japokuwa sijawahi kufika Zanzibar ila pia sijawahi kabisa kuvutiwa na hicho kisiwa, Yani ni pa hovyo mno .. wamepita Marais wengi lakini hakuna kinachobadilika ..
Kuna kipindi nilicheka saana yaani nimekutana na Mkuu wa mkoa huku Zanzibar kwenye uzinduzi wa Zahanati analetewa msosi na jamaa kashika sahani ya chakula mkononi na sahani ya mchuzi mkono mwingine huku kidole kimedumbukia kwenye mchuzi na maji ya Mia tano kayaweka mfuko wa nyuma. Afu akamwekea mkuu wa mkoa na Mkuu akala.Siyo hawapend kujionyesha tatitizo hawajielewi, ndiyo maana huwezi kumtofautisha mkuu wa mkoa, katibu mkuu wa wizara na wauza nazi sokoni, mkurugenzi wa Zec Zanzibar ana panda boti ya elfu 25000, kwenda kwenye kikao, Una zani mkurugenzi wa NEC utampandisha boat ya elfu 25000 kwenda kwenye kikao Zanzibar, kwa kifupi wa Zanzibar hawajui kutumia hela
Ama hii sasa imezidi chumvi!!!!!pale forodhani nikula mishikaki miwili ya samaki na maji ya matunda bili ikaja elfu 68 yaani wizi mtupu
Teknolojia ime advance mkuu, siku hizi Google map inakupeleka kila mitaa tena kwa picha ..Kama hujawahi fika huo uovyo, umeuonaje[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Siku hizi kabla hatujafika mahali tunaanza na Google map .. nimeeleweka ?? ..Wewe hujawahi kufika huko tena vipi unatoa hukumu eti pa ovyo mno? Unanishangaza Wallahi.