Zanzibar kupo ovyo sana. Kweli au nahitaji kueleweshwa?

Zanzibar kupo ovyo sana. Kweli au nahitaji kueleweshwa?

Nimetembelea huu mji, kwa kweli ni mji ambao bado watu wamelala, migahawa ya kumulika kwa tochi vyakula havieleweki, nimeenda hadi forodhani yaani nyama za pale bei juu alafu hazina mvuto yaani rafu rafu tu.

Barabara za lami kama wamemwaga zege yaani , mainjinia sijui wameajriwa kwa kazi gani, nimehisi nimerudi Dar es Salaam ya mwaka 2000 ,or ndio mji wa kitalii labda.

Labda nipewe chimbo huenda nimeenda sehem sio lakini kwaweli ni majanga sana hapa.
Zanzibar iko kwenye miji inayotambulika kuwa urithi wa Dunia, Historia ya miaka ya 1700-1800 inaakisiwa na majengo yake mengi makuu kuu. Kuwa kwenye orodha ya urithi ni wazi kuwa magofu yote yatakuwa na thamani pale hivyo, hakuna ruksa ya kuingiza usasa pale.... Labda ujengwe mji mpya seheme nyingine kama ilivyo kwa miji mingi mikongwe ya nchi za bara ulaya.
 
Mtoa mada unamatatizo sio bure watu wenye wadhifa wao, utajiri na wafanyabiashara na mashuhuri wanaipenda Zanzibar ni sehemu moja iko kipekee kabisa kama una hela za kutumia nenda Zanzibar Tembelea stone town na uinjoy hotel za kifahari.

inasemekana Zanzibar ni sehemu pekee ukienda msikitini unaweza kuonana na waziri, wabunge , Rpc na ukapiga swaga nao bila shida yoyote ufahari, majivuno hawana wanaishi maisha yakawaida kabisa.
 
Labda waibe ila kiutaratibu hiyo ni serikali inayojitegemea..na hela wanayostahili kupewa ni ile 0.04 percent ya muungano kupitia wizara tu.

Tofauti na hapo wapambeni wajijenge mana wanakatiba yao.

#MaendeleoHayanaChama

Sent using Jamii Forums mobile app
Ila Serikali yao inawapenda sana, huduma zote zinazotolewa na Serikali kama Elimu,Afya Umeme,Maji na n.k. aidha ni bure ama kwa gharama ya chini kabisa, hakuna magereza, badala yake kuna vyuo vya Mafunzo na humo ndani ya hivyo vyuo kunapatikana michezo ya kila aina, "mpira wa miguu,basketball,netball,Keram, draft na michezo mingine tele na anaemaliza kifungo chake kuna pesa ya kwenda kuanzia maisha huwa anapewa. Wenyewe wanaita "mshahara"yaani kipindi chote unachokaa jela unakuwa unalipwa.
 
Kumbe Tz bara tunanyonywa hivi daah..

#MaendeleoHayanaChama

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe ndio unawaza chini..nani alikwambia lodge zinatengeezwa kwa ajili ya wazinzi..?hizo ni nyumba kwa ajili ya wageni.

#MaendeleoHayanaChama

Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe unawaza chini, umefikia kwa mwenyeji lodge gesti ya nini? Acheni ujinga wa kujiona mnajua sana maisha kwa kupenda luxury! Na maisha ya dunia si chochote ila ni starehe ya ubatili!
 
Wewe unawaza chini, umefikia kwa mwenyeji lodge gesti ya nini? Acheni ujinga wa kujiona mnajua sana maisha kwa kupenda luxury! Na maisha ya dunia si chochote ila ni starehe ya ubatili!
Kwamfano mtu anakuja zanzibar kwaajili ya biashara ama utalii na hana wenyeji..ulitaka afikie kwako ama?lodge muhimu sana.

#MaendeleoHayanaChama

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna kipindi nilicheka saana yaani nimekutana na Mkuu wa mkoa huku Zanzibar kwenye uzinduzi wa Zahanati analetewa msosi na jamaa kashika sahani ya chakula mkononi na sahani ya mchuzi mkono mwingine huku kidole kimedumbukia kwenye mchuzi na maji ya Mia tano kayaweka mfuko wa nyuma. Afu akamwekea mkuu wa mkoa na Mkuu akala.

Honestly Mimi siwezi kula kile chakula Ni kibovu afu mbebaji kabeba kwa Nia ya hatari na Hana hygiene wala usafi wowote isitoshe kidole kimedumbukia kwenye mchuzi na jamaa alilamba kidole baada ya kukabidhi msosi. Nilishangaa saana. [emoji15]
Aisee we mtu punguza fiksi kidogo basi... dah!
 
Zanzibar iko kwenye miji inayotambulika kuwa urithi wa Dunia, Historia ya miaka ya 1700-1800 inaakisiwa na majengo yake mengi makuu kuu. Kuwa kwenye orodha ya urithi ni wazi kuwa magofu yote yatakuwa na thamani pale hivyo, hakuna ruksa ya kuingiza usasa pale.... Labda ujengwe mji mpya seheme nyingine kama ilivyo kwa miji mingi mikongwe ya nchi za bara ulaya.
Kama Bagamoyo sio?
 
Back
Top Bottom