bitimkongwe
JF-Expert Member
- Oct 21, 2009
- 7,794
- 7,551
Munataka makubwa musiyo na uwezo nayo ndiyo maana munaishia kukwapua serikalini na kufanya utapeli kwa wingi.Nadhani hulika ya kiswahili na kuridhika na vitu viduchu inawafanya wawe nyuma.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Munataka makubwa musiyo na uwezo nayo ndiyo maana munaishia kukwapua serikalini na kufanya utapeli kwa wingi.Nadhani hulika ya kiswahili na kuridhika na vitu viduchu inawafanya wawe nyuma.
Zanzibar iko kwenye miji inayotambulika kuwa urithi wa Dunia, Historia ya miaka ya 1700-1800 inaakisiwa na majengo yake mengi makuu kuu. Kuwa kwenye orodha ya urithi ni wazi kuwa magofu yote yatakuwa na thamani pale hivyo, hakuna ruksa ya kuingiza usasa pale.... Labda ujengwe mji mpya seheme nyingine kama ilivyo kwa miji mingi mikongwe ya nchi za bara ulaya.Nimetembelea huu mji, kwa kweli ni mji ambao bado watu wamelala, migahawa ya kumulika kwa tochi vyakula havieleweki, nimeenda hadi forodhani yaani nyama za pale bei juu alafu hazina mvuto yaani rafu rafu tu.
Barabara za lami kama wamemwaga zege yaani , mainjinia sijui wameajriwa kwa kazi gani, nimehisi nimerudi Dar es Salaam ya mwaka 2000 ,or ndio mji wa kitalii labda.
Labda nipewe chimbo huenda nimeenda sehem sio lakini kwaweli ni majanga sana hapa.
Wewe ndio unawaza chini..nani alikwambia lodge zinatengeezwa kwa ajili ya wazinzi..?hizo ni nyumba kwa ajili ya wageni.Kwahiyo gesti ndio maendeleo? Unawaza sana chini ndio tatizo.
Aisee!!!hata watu wake ovyoo
Bila kusahau UROANenda kwenye 5 star hotels pande za shamba(Nungwi,Kiwengwa,Matemwe) au nenda kusini (Jambiani,Paje,Kizimkazi nk
upate radha ya Zanzibar.
Mwembe mchomeke, mwembe basha,mfereji wa Wima,Kwahaji tumbo,Matarumbeta.... Vipi umefarijika kidogo mkuu au niendelee!?Nenda kijito upele, mchamba wima........ukajionee
🤣🤣🤣naenjoy tu majina ya wazenji
Ila Serikali yao inawapenda sana, huduma zote zinazotolewa na Serikali kama Elimu,Afya Umeme,Maji na n.k. aidha ni bure ama kwa gharama ya chini kabisa, hakuna magereza, badala yake kuna vyuo vya Mafunzo na humo ndani ya hivyo vyuo kunapatikana michezo ya kila aina, "mpira wa miguu,basketball,netball,Keram, draft na michezo mingine tele na anaemaliza kifungo chake kuna pesa ya kwenda kuanzia maisha huwa anapewa. Wenyewe wanaita "mshahara"yaani kipindi chote unachokaa jela unakuwa unalipwa.Labda waibe ila kiutaratibu hiyo ni serikali inayojitegemea..na hela wanayostahili kupewa ni ile 0.04 percent ya muungano kupitia wizara tu.
Tofauti na hapo wapambeni wajijenge mana wanakatiba yao.
#MaendeleoHayanaChama
Sent using Jamii Forums mobile app
Kumbe Tz bara tunanyonywa hivi daah..Ila Serikali yao inawapenda sana, huduma zote zinazotolewa na Serikali kama Elimu,Afya Umeme,Maji na n.k. aidha ni bure ama kwa gharama ya chini kabisa, hakuna magereza, badala yake kuna vyuo vya Mafunzo na humo ndani ya hivyo vyuo kunapatikana michezo ya kila aina, "mpira wa miguu,basketball,netball,Keram, draft na michezo mingine tele na anaemaliza kifungo chake kuna pesa ya kwenda kuanzia maisha huwa anapewa. Wenyewe wanaita "mshahara"yaani kipindi chote unachokaa jela unakuwa unalipwa.
Wewe unawaza chini, umefikia kwa mwenyeji lodge gesti ya nini? Acheni ujinga wa kujiona mnajua sana maisha kwa kupenda luxury! Na maisha ya dunia si chochote ila ni starehe ya ubatili!Wewe ndio unawaza chini..nani alikwambia lodge zinatengeezwa kwa ajili ya wazinzi..?hizo ni nyumba kwa ajili ya wageni.
#MaendeleoHayanaChama
Sent using Jamii Forums mobile app
Na kila mkoa uko vivyo hivyo maana hakuna anaeacha asili yake na kufuata asili ya wengine, ukimuona mtu ana sura mbaya elewa upande mwingine na wewe unaonekana una sura mbaya pia.Kuna jambo umelisahau sehemu nyingi watu wamefanana sura halafu sura zenyewe mbaya mbaya tu
Kwamfano mtu anakuja zanzibar kwaajili ya biashara ama utalii na hana wenyeji..ulitaka afikie kwako ama?lodge muhimu sana.Wewe unawaza chini, umefikia kwa mwenyeji lodge gesti ya nini? Acheni ujinga wa kujiona mnajua sana maisha kwa kupenda luxury! Na maisha ya dunia si chochote ila ni starehe ya ubatili!
Hotel zipo...Kwamfano mtu anakuja zanzibar kwaajili ya biashara ama utalii na hana wenyeji..ulitaka afikie kwako ama?lodge muhimu sana.
#MaendeleoHayanaChama
Sent using Jamii Forums mobile app
Endelea mkuu, nikienda Zanzibar nataka nikatafute asili ya hayo majinaMwembe mchomeke, mwembe basha,mfereji wa Wima,Kwahaji tumbo,Matarumbeta.... Vipi umefarijika kidogo mkuu au niendelee!?
Aisee we mtu punguza fiksi kidogo basi... dah!Kuna kipindi nilicheka saana yaani nimekutana na Mkuu wa mkoa huku Zanzibar kwenye uzinduzi wa Zahanati analetewa msosi na jamaa kashika sahani ya chakula mkononi na sahani ya mchuzi mkono mwingine huku kidole kimedumbukia kwenye mchuzi na maji ya Mia tano kayaweka mfuko wa nyuma. Afu akamwekea mkuu wa mkoa na Mkuu akala.
Honestly Mimi siwezi kula kile chakula Ni kibovu afu mbebaji kabeba kwa Nia ya hatari na Hana hygiene wala usafi wowote isitoshe kidole kimedumbukia kwenye mchuzi na jamaa alilamba kidole baada ya kukabidhi msosi. Nilishangaa saana. [emoji15]
Kama Bagamoyo sio?Zanzibar iko kwenye miji inayotambulika kuwa urithi wa Dunia, Historia ya miaka ya 1700-1800 inaakisiwa na majengo yake mengi makuu kuu. Kuwa kwenye orodha ya urithi ni wazi kuwa magofu yote yatakuwa na thamani pale hivyo, hakuna ruksa ya kuingiza usasa pale.... Labda ujengwe mji mpya seheme nyingine kama ilivyo kwa miji mingi mikongwe ya nchi za bara ulaya.