Siyo hawapend kujionyesha tatitizo hawajielewi, ndiyo maana huwezi kumtofautisha mkuu wa mkoa, katibu mkuu wa wizara na wauza nazi sokoni, mkurugenzi wa Zec Zanzibar ana panda boti ya elfu 25000, kwenda kwenye kikao, Una zani mkurugenzi wa NEC utampandisha boat ya elfu 25000 kwenda kwenye kikao Zanzibar, kwa kifupi wa Zanzibar hawajui kutumia hela
Sasa mkuu mbona unahamasisha watu wawe mafisadi? kwahiyo unataka wafuje pesa ya uma?