Kama ulijifanya hujui kibongo au unaongea lugha ya malkia iliyoshiba hiyo bei halali yako, maana wanawatafuta sana watu kama wewe.
Pale kuna madalali na hao ndiyo wanaopiga pesa, wenzako huwa wanafanya negotiation kabla ya kuchangua menu.
mentality zetu ni za ovyo sana, yani ukigundulika ni mgeni ndipo watu wanapoona nafasi ya kupiga pesa, mbaya Zaidi ni kua serekali nayo inafanana na hao wananchi wake, Kwenye suala zima la utalii huwa wanavurumisha tu makodi yasiyokua na kichwa wala miguu.