Bulamba
JF-Expert Member
- Sep 17, 2011
- 13,741
- 13,049
Pale Forodhani nilikula mishikaki miwili ya samaki na maji ya matunda bili ikaja elfu 68 yaani wizi mtupuNimetembelea huu mji, kwa kweli ni mji ambao bado watu wamelala, migahawa ya kumulika kwa tochi vyakula havieleweki, nimeenda hadi forodhani yaani nyama za pale bei juu alafu hazina mvuto yaani rafu rafu tu
Barabara za lami kama wamemwaga zege yaani , mainjinia sijui wameajriwa kwa kazi gani, nimehisi nimerudi dar es salaam ya mwaka 2000 ,or ndio mji wa kitalii labda
Labda nipewe chimbo huenda nimeenda sehem sio lakini kwaweli ni majanga sana hapa