Tetesi: Zanzibar kupokea ndege 15 kutoka kwa Bakhressa

Tetesi: Zanzibar kupokea ndege 15 kutoka kwa Bakhressa

Joined
Jun 5, 2017
Posts
95
Reaction score
124
Kampuni za Azam zimeendelea kufanya mapinduzi ya uwekezaji kwa kuanza kuwekeza katika Usafirishaji Wa anga kwa kutegemewa hivi punde kushusha ndege 15 kwa ajili ya shughuli za usafirishaji kutoka Zanzibar kwenda maeneo jirani

IMG_20180318_175302.jpeg
 
Hatua nzr Sana hii, nampongeza mzee wetu Said Salim Bakhressa!
 
Fastjet na precision airways wajiandae, ila bila shaka hizo ni ndege used tena za kukodi
 
Ajiangalie maana imetangaza Tanganyika Ni nchi za nje kwa Zanzibar.....zisije zikaishia kuruka Pemba na Unguja tu.
Kenya nayo ni nchi, mkiona nchi yenu ni bora wataenda Nairobi, Mombasa na kwingineko.
Sasa hivi hamumtishii kitu, Azam wapo karibia nchi zote za Afrika mashariki mkikataa kununua mikate yake atawauzia Kenya, mkimzimia Azam tv atarusha kutokea Kenya, Rwanda na Uganda.
Kule Fumba ameamua kuwalazimisha muende wenyewe kwa hela yenu na wiki hii anakuja na Hotel Verde mtaenda hata kwa mitumbwi tu kushangaa.
 
Kenya nayo ni nchi, mkiona nchi yenu ni bora wataenda Nairobi, Mombasa na kwingineko.
Sasa hivi hamumtishii kitu, Azam wapo karibia nchi zote za Afrika mashariki mkikataa kununua mikate yake atawauzia Kenya, mkimzimia Azam tv atarusha kutokea Kenya, Rwanda na Uganda.
Kule Fumba ameamua kuwalazimisha muende wenyewe kwa hela yenu na wiki hii anakuja na Hotel Verde mtaenda hata kwa mitimbwi tu.
Hongera zake... maana huku Tanganyika tumebahatika viongozi washamba....utajiri kwao ni dhambi japo kukusanya kodi wanapenda.
 
OK,hizo ni ndege ndogo za abiria ,zitafaa sana hasa kwenye masuala ya kukuza utalii Zanzibar na maeneo mengine ya Tanzania ,hongera sana mzee bakhressa.
 
Safi sana wahindi wameweka mtaji wao kupitia Jina la bskherasa maana Ni rahis na serikali inamuanya

Wangekuja wenyewe mizunguko ingekuwa mingi
 
Back
Top Bottom