Tetesi: Zanzibar kupokea ndege 15 kutoka kwa Bakhressa

Analeta hutu tudude......aka popobawa....
 
Kiringo nasikia kawamaliza kwelikweli habari za kweli
Nasikia huyo jamaa ni mfanyakazi wa TRA ambayo ni ya kwenu sasa nani alimpa ajira nab kwa nini? Halafu vip hizi taarifa za mtoto wetu mpendwa ni za kweli?
 
huyu mbona huwa anasaidia Zanzibar tu..sijawah sikia amesaidia bara?
Akili za kimasikini hizi! Kwani si kila mfanyabiashara anaangalia opportunity ya kupata faida ilipo? Au unataka apeleke ndege kule Kishumundu?
 
huyu mbona huwa anasaidia Zanzibar tu..sijawah sikia amesaidia bara?
SIO MSAADA HUO AMEONGEZA VITEGA UCHUMI VYA KAMPUNI YAKE. FAIDA INAYOPATIKANA NI YAKE MWENYEWE. ZANZIBAR ITAFAIDIKA KWA KUKUSANYA KODI TU.
 
Nasikia huyo jamaa ni mfanyakazi wa TRA ambayo ni ya kwenu sasa nani alimpa ajira nab kwa nini? Halafu vip hizi taarifa za mtoto wetu mpendwa ni za kweli?
Sidhani kama ni za kweli ama uvumi lakini za kiringo kuwatatua marinda zimethibitishwa na vyombo vya dora pamoja na maandamano ya mama na wake zenu kulalamika vitendo vya watoto na waume zao kuendekeza kumupa jicho[emoji12] kiringo
 
Kuna mapunga mawili yamehamia mtaani hapa kutoka zanzibar tataka kufuata sheria kuwafukuza msije mkaanza kulalamika mnaonewa maana kwa kulalamika hamjambo kaa mtoto wa kambo ila lazima tuwaondoe wakagawe jicho hukohuko kwa kiringo
 
Sema hujui tu ila ndio hivyo, halafu umesahau tu kuwa huko kwenu yapo masoko kabisa na mlishawahi kuandamana kudai haki zenu kabisa na mmesahau hata vipindi kwenye redio zenu maarufu mnarusha kuonyesha mlivyo.
 
Fanya utafiti utagundua ni ndugu zako wa karibu kabisa, kama huku wanalalamika je nyie mtakuwa mnafanya nini? Kuna watu waoga na wanaojua kulalamika kama nyinyi? Hamkumbuki kwenye chaguzi mnavyotiwa mpaka vidole ila mpo kimya tu.
 
Hayo ni mapungu ya huko yanakimbilia huku ngoja tuyafukuze kama utayasikia tena
 
Fanya utafiti utagundua ni ndugu zako wa karibu kabisa, kama huku wanalalamika je nyie mtakuwa mnafanya nini? Kuna watu waoga na wanaojua kulalamika kama nyinyi? Hamkumbuki kwenye chaguzi mnavyotiwa mpaka vidole ila mpo kimya tu.
rangi za wapemba si zinafahamika
 
Back
Top Bottom