Tetesi: Zanzibar kupokea ndege 15 kutoka kwa Bakhressa

Tetesi: Zanzibar kupokea ndege 15 kutoka kwa Bakhressa

Biashara ya usafiri wa anga siyo usafiri wa majini ambao hana mshindani yoyote, kwa sasa usafiri wa anga una changamoto sana mkuu asikwambie mtu, hiyo kusema hajawi kulenga biashara ikagonga mwamba ni kujifariji tu
Yule mpemba hajawahi kulenga biashara ikagonga mwamba....zingatia hilo.
 
Kununua hizo ndege kwa kipindi hiki cha mdororo wa uchumi nchini sidhani kama zitaleta matokeo chanya kwake
Atakuwa halengi faida ya muda mfupi.. Guenda anatala kudominate soko katika kipindi hiki.. Kujenga uhusiano mzuri na wateja.. Japo hatengenezi faida ila atavuna customer royalty..

Plus kwa small aircraft carriers hats gharama za uendedhaji sio kubwa sana na huenda akafanya faida japo sio kubwa. Ni kipindi sahihi kujenga soko. Na amefanya sahihi.
 
Wanaobeza hawajui soko la ndege, mambo huanza hivyo na badae utashangaa Azam airline wanashusha Boeing zakutosha.
Na hapa ndio nashindwa kuelewa.. Yaani timu ya ushauri ya bakhresa inawashinda wachumi wa nchi kung'amua mambo madogo..

Tunakimbilia ndege kuubwa wakati hata wateja na soko hatujaliandaa.. Namtabiria jamaa kufanya wonders kwenye hili.
 
Siyo kweli, boat za azam ZNZ - Dar ni kati ya 25000 hadi 60000 kulingana na daraja ulilopanda.
 
Yule jamaa wa chato atazizuia kama ile sukari toka kiwanda cha zanzibar , yaani zitatua Tanzania bara kama foreign airline.
 
Sasa n rasmii mtu utakwea
Pipa mpaka zenj na laki moja tu
 
Na hapa ndio nashindwa kuelewa.. Yaani timu ya ushauri ya bakhresa inawashinda wachumi wa nchi kung'amua mambo madogo..

Tunakimbilia ndege kuubwa wakati hata wateja na soko hatujaliandaa.. Namtabiria jamaa kufanya wonders kwenye hili.
We unajibu kwa chuki dhidi ya serikali, hivi hivyo vindenge unadhani vingeleta faida gani? Target ya rais ni kuona ATCL ikipanuka na ndege angalau nzuri na zenye kumudu safari siyo hizo mbayuwayu.
 
Back
Top Bottom