Tetesi: Zanzibar kupokea ndege 15 kutoka kwa Bakhressa

Tetesi: Zanzibar kupokea ndege 15 kutoka kwa Bakhressa

Kununua hizo ndege kwa kipindi hiki cha mdororo wa uchumi nchini sidhani kama zitaleta matokeo chanya kwake
ungekuwa msafiri wa ndani maeneo tofauti ungeelewa tu .
Route za zanzibar /dar to Arusha ,
zanzibar/dar dodoma .dar/znz tanga /pemba siku zote watu hukaa foleni kusubiri nafasi
 
Usafiri wa anga ni sehemu mhimu sana katika uchumi wa nchi, halafu sio lazima watanzania milioni 55 wapande hizo ndege ndio uone faida, its a matter of direct and indirect benefit to the community!!

Allamsik mkuu
Asante mkuu.. Nakubaliana na we we..lakini kama navyosema nchi bado inavyo vingi ambavyo directly vinaweza kubadili maisha ya watanzania.

Lazima tukubali hii yote ni consumerism ambayo imekuwa deeply embedded in our society na vitu kama elimu pia.. Kama hatutaikimbia tuaukimbiza mkia wetu na mafanikio tutayasikia..

Sio kila MTU akiwa na ndege kubwa na ss tuwe Nazo.. Yeye akiwaleta east Africa sisi tutawasambaza.. Year 2100 Tanzania itakuwa na 250+million people.. Unadhani soko la ndani litakuwa na maana kubwa kiasi gani ??.. East Afrika itakuwa 0.5bil people.. Acha wawekeze kwenye safari ndefu jenga jina kwenye safari za ndani.

Meanwhile ongeza trade schools.. Wekeza kwenye R&D ..vyuo vikuu ya kila mkoa au wilaya ikibidi..kama no ndege watanzania wataziunda hapa hapa..
 
Usafiri wa anga ni sehemu mhimu sana katika uchumi wa nchi, halafu sio lazima watanzania milioni 55 wapande hizo ndege ndio uone faida, its a matter of direct and indirect benefit to the community!!

Allamsik mkuu
hizi tabia za kuyabeba mashirika ya serikali ili tu ionekane yanashindana na mengine ndo kitu kitakacholeta mdondoko wetu......kama umefanya kazi kwenye mashirika ya ndege lazima ujue ni kuwekeza zaidi kwe customer service kuliko investment nyingii ya mandege wateja wakiwakataa inakula kwenu...ATCL bado inapoor customer service na tatizo la viongozi wanawaza kwa kuiangusha fastjet na precision air ndo wanahisi wao watasimama
African airlines to land into deeper losses in 2018

"The International Air Transport Association (IATA) says that while globally the aviation industry is expected to make significant profits, in Africa the industry will post a cumulative loss of $100 million, after posting a collective net loss of $100 million in 2017.

IATA attributes the losses to the failure by governments to liberalise the continent’s airspace, slow economic recovery and high operating costs."

Protectionism killing EAC's aviation sector, warn experts
Political intrusion costing African airlines
 
huyu mbona huwa anasaidia Zanzibar tu..sijawah sikia amesaidia bara?
Kwasababu huyu ni mzanzibari,kama vile Mengi anavyosaidia Tanganyika tu sijamsika kusaidia Zanzibar..Mkuu huo sio msaada ni biashara yake hasaidii mtu hapo...,zinduka
 
Huyu jamaa ana wilaya yake huko pwani analima miwa 2020+ anafungua kiwanda cha sukari

halafu kuna wajinga wanasema Mo anamzidi mzee kwa ngawira..

Pemba anajenga mkoa wake teh teh
 
huyu mbona huwa anasaidia Zanzibar tu..sijawah sikia amesaidia bara?


Kwa sababu yeye ni Mzanzibar.

Wewe umeshawahi kusaidia Zambia?

Yeye sio Mtanganyika, huku alikuja kuchuma tu!

Mzanzibari siku zote anajiangalia kama Mzanzibar!

Na wewe ni Mtanganyika, ambae by law huruhusiwi kumiliki ardhi Zanzibar. Mtanganyika jielewe!
 
Back
Top Bottom