AlP0L0
JF-Expert Member
- Apr 23, 2011
- 6,406
- 4,899
Kha! Acha wivu wa kike.Ndege au vijidege?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kha! Acha wivu wa kike.Ndege au vijidege?
Kampuni za Azam zimeendelea kufanya mapinduzi ya uwekezaji kwa kuanza kuwekeza katika Usafirishaji Wa anga kwa kutegemewa hivi punde kushusha ndege 15 kwa ajili ya shughuli za usafirishaji kutoka Zanzibar kwenda maeneo jirani
View attachment 718548
huyu mbona huwa anasaidia Zanzibar tu..sijawah sikia amesaidia bara?
Mbona mi Nina kiwanja huko na nishaanza ujenzi na hakuna wa kunizuia?Kwa sababu yeye ni Mzanzibar.
Wewe umeshawahi kusaidia Zambia?
Yeye sio Mtanganyika, huku alikuja kuchuma tu!
Mzanzibari siku zote anajiangalia kama Mzanzibar!
Na wewe ni Mtanganyika, ambae by law huruhusiwi kumiliki ardhi Zanzibar. Mtanganyika jielewe!
bara haiihitaji msaadahuyu mbona huwa anasaidia Zanzibar tu..sijawah sikia amesaidia bara?
Hao Watu walioko nyuma yake wamesimama?Nimeanza kuamini nyuma ya bakhresa kuna watu.
Hongera Azam company
Natamani nkutie bonge la tusi umbwa wewehuyu mbona huwa anasaidia Zanzibar tu..sijawah sikia amesaidia bara?
Salute mkuuKenya nayo ni nchi, mkiona nchi yenu ni bora wataenda Nairobi, Mombasa na kwingineko.
Sasa hivi hamumtishii kitu, Azam wapo karibia nchi zote za Afrika mashariki mkikataa kununua mikate yake atawauzia Kenya, mkimzimia Azam tv atarusha kutokea Kenya, Rwanda na Uganda.
Kule Fumba ameamua kuwalazimisha muende wenyewe kwa hela yenu na wiki hii anakuja na Hotel Verde mtaenda hata kwa mitumbwi tu kushangaa.