Tetesi: Zanzibar kupokea ndege 15 kutoka kwa Bakhressa

Tetesi: Zanzibar kupokea ndege 15 kutoka kwa Bakhressa

Kichwa cha habari. Nilidhani Bakharesa amenunua hizo ndege na atazikabidhi kwa serikali ya Zanzibar, kumbe ni zake mwenyewe....
 
Kampuni za Azam zimeendelea kufanya mapinduzi ya uwekezaji kwa kuanza kuwekeza katika Usafirishaji Wa anga kwa kutegemewa hivi punde kushusha ndege 15 kwa ajili ya shughuli za usafirishaji kutoka Zanzibar kwenda maeneo jirani

View attachment 718548
Shkamoo bakhresa na wakina kanjunju na Sisi tutaanza kupanda ndege soon
 
Kwahiyo kutusema wamatumbi maana yako ni nini
 
Kenya nayo ni nchi, mkiona nchi yenu ni bora wataenda Nairobi, Mombasa na kwingineko.
Sasa hivi hamumtishii kitu, Azam wapo karibia nchi zote za Afrika mashariki mkikataa kununua mikate yake atawauzia Kenya, mkimzimia Azam tv atarusha kutokea Kenya, Rwanda na Uganda.
Kule Fumba ameamua kuwalazimisha muende wenyewe kwa hela yenu na wiki hii anakuja na Hotel Verde mtaenda hata kwa mitumbwi tu kushangaa.
Na jisukari lenu hatulitaki mwisho chumbeee
 
Back
Top Bottom