ChimpuluNchimbi
Member
- Jun 5, 2017
- 95
- 124
LaZima amtafutie kijisababu.bashite anatamani amfilisi na huyu, ahongwe kandege kamoja
Mbona viwanda vyake vingi vipo bara na kaajiri wamatumbi wengi tu japo wote wa mama mdogohuyu mbona huwa anasaidia Zanzibar tu..sijawah sikia amesaidia bara?
Kwani viwanda vyake vingi viko wapi?huyu mbona huwa anasaidia Zanzibar tu..sijawah sikia amesaidia bara?
Kenya nayo ni nchi, mkiona nchi yenu ni bora wataenda Nairobi, Mombasa na kwingineko.Ajiangalie maana imetangaza Tanganyika Ni nchi za nje kwa Zanzibar.....zisije zikaishia kuruka Pemba na Unguja tu.
Hongera zake... maana huku Tanganyika tumebahatika viongozi washamba....utajiri kwao ni dhambi japo kukusanya kodi wanapenda.Kenya nayo ni nchi, mkiona nchi yenu ni bora wataenda Nairobi, Mombasa na kwingineko.
Sasa hivi hamumtishii kitu, Azam wapo karibia nchi zote za Afrika mashariki mkikataa kununua mikate yake atawauzia Kenya, mkimzimia Azam tv atarusha kutokea Kenya, Rwanda na Uganda.
Kule Fumba ameamua kuwalazimisha muende wenyewe kwa hela yenu na wiki hii anakuja na Hotel Verde mtaenda hata kwa mitimbwi tu.
Waulize watoto wa mama mdogo jinsi jamaa anavyowapa mashavu huku bara......anajitahidihuyu mbona huwa anasaidia Zanzibar tu..sijawah sikia amesaidia bara?