Tetesi: Zanzibar kupokea ndege 15 kutoka kwa Bakhressa

Hasara ya ATCL kuzidi kupaa labda wapigwe marufuku kutua bara vinginevyo pangaboi TUPUUUUU!!!

Kampuni za Azam zimeendelea kufanya mapinduzi ya uwekezaji kwa kuanza kuwekeza katika Usafirishaji Wa anga kwa kutegemewa hivi punde kushusha ndege 15 kwa ajili ya shughuli za usafirishaji kutoka Zanzibar kwenda maeneo jirani

View attachment 718548
 
Ndiyo kwao huku, huko Tanganyika kawasaidia ajira chungu tele kwenye viwanda huku ndipo anapotumia pesa (faida) inayotoka huko Tanganyika.
huyu mbona huwa anasaidia Zanzibar tu..sijawah sikia amesaidia bara?
 
Mbona mi Nina kiwanja huko na nishaanza ujenzi na hakuna wa kunizuia?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kandege Propel la engine moja? iki-fail bahati mbaya mmekufa, kanaanguka chini pwaaa! mnakuwa ni vumbi, kanaungua, na nchi yetu haina ndege zauokozi, mpaka kuja mpatikane hee! ee!ee! mmesha oza!
 
Salute mkuu
 
Kwa hiyo tangu mwezi March, 2018 hii habari bado ni tetesi?
 
Sio kuisaidia bali anawekeza kama wengine kina Coastal air,precision air,regional air nk.

Kumbuka ameishawekeza kwenye hotel kubwa ya kitalii huko.
So lazima awekeze kwenye usafirishaji watalii ili wafikie vivutio vya utalii kwa kirahisi zaidi.[emoji1241][emoji818]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…