Mtoto halali na hela
JF-Expert Member
- Aug 10, 2012
- 52,160
- 48,974
Fake news
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio wajue umuhimu wa kudai Katiba Mpya.Wazanzibar wanakandamizwa sana !
Juzi kati mbunge wa zamani wa CUF na mwandishi mashuhuri wa BBC tokea Visiwani, aliweka nia ya kugombea nafasi ya Mweyekiti wa TFF...hizo ni chokochoko za katiba mpya.
..warudishieni Znz mamlaka yao.
..vinginevyo mashindano ya CAF tushiriki kwa zamu.
..mwaka mmoja washiriki Znz, halafu unaofuatia tushiriki Tz bara.🤣🤣
Cc Kibunango
Juzi kati mbunge wa zamani wa CUF na mwandishi mashuhuri wa BBC tokea Visiwani, aliweka nia ya kugombea nafasi ya Mweyekiti wa TFF.
Jina lake lilikatwa katika hatua za awali kabisa, ikidaiwa kuwa ZFF ni memba wa CAF. Japo kimsingi sio memba rasmi, yeye alitia nia kwa kuwa ni wananchi wa JMT...
Kimsingi katiba ina mapungufu mengi katika kila setka hapa nchini!
Si tulishakubaliana kwamba Zanzibar ni koloni la Tanganyika?Habari wadau..!
Nyinyi niwajuvi na maguru wa siasa ,je hili swala la Zanzibar kutolewa shirikisho la mpira la CAF na kutoshiriki mashindano yote ya CAF limekaaje kisiasa?
Haijaondolewa ni uongoHabari wadau..!
Nyinyi niwajuvi na maguru wa siasa ,je hili swala la Zanzibar kutolewa shirikisho la mpira la CAF na kutoshiriki mashindano yote ya CAF limekaaje kisiasa?
hii naona imekaa sawa na itazidi kuimarisha muungano wetu wa mfano africa na duniani. kwa siku za karibuni kumetokea sintofahamu nyingi za baadhi ya viongozi au maafisa wa Zanzibar kutaka Zanzibar ijulikane na iwakilishwe kama inavyowakilisha Jamhuri ya muungano wa Tanzania jambo ambalo linaleta sintofahamu kubwa sana katika muungano wetu. na pia maadui wa nchi yetu wamekuwa wakilitumia hili kuichagiza zanzibar kudai na hata kujiunga na taasisi ambazo kiuhalisia kuwa mwananchama ni kwa nchi tu hapa namaanisha siyo tanganyika wala zanziba inaweza kujiunga ila TANZANIA. Serikali ya jamhuri ya muungano wa Tanzania ni kama imelala na haifualtilii kwa ukaribu baadhi ya mambo yanayoendelea zanziba ambayo hayana afya kwa utaifa wetu; mfano zanzibar kwa kusaidiwa na kenya imeweza kuwa mwanachama wa shirika la uuandaaji wa viwango afrika, zanzibar kupitia zbs wameandika barua shirika la uaandaaji wa viwango duniani kutaka kujiunga yenyewe lakini kiuhalisia mashirika haya ili kuwa mwanachama unatakiwa uwe nchi na si sehemu ya nchi na kama zanzibar inaruhusiwa kujiunga na taasisi hizo kwanini na Tanganyika isiruhusiwe?Habari wadau..!
Nyinyi niwajuvi na maguru wa siasa ,je hili swala la Zanzibar kutolewa shirikisho la mpira la CAF na kutoshiriki mashindano yote ya CAF limekaaje kisiasa?
Ngoja mama wa "chokochoko" aje na AMRI, mwaka huu TFF itoe timu na mwakani ZFA nao wanatoa timu.Hawajakidhi vigezo.. Hili halina uhusiano na Tanganyika
UPO SAHII KABISA, KWA AFYA YA MUUNGANO WETU INABIDI MAMBO MENGI YANAYOTUWAKILISHA KAMA TAIFA NA MATAIFA MENGINE YAWE YA MUUNGANO, Kwasasa ni kawaida mzanzibar kujisikia fahari kujitambulisha ametoka zanziba na si tanzania tunapokuwa wote nje, najiuliza hivi kwanini na mimi nisitumia tanganyika?Wabadilishe Muundo kuwe na ligi moja itakayojuisha timu za zanzibar, chama cha
mpira cha zanzibar kivunjwe iwe taasisi ya kuendeleza mpira zanzibar ila ubinafsi na ulafu wa madaraka hawatakubali hilo
Ni rais wa tff si mwenyekitJuzi kati mbunge wa zamani wa CUF na mwandishi mashuhuri wa BBC tokea Visiwani, aliweka nia ya kugombea nafasi ya Mweyekiti wa TFF.
Jina lake lilikatwa katika hatua za awali kabisa, ikidaiwa kuwa ZFF ni memba wa CAF. Japo kimsingi sio memba rasmi, yeye alitia nia kwa kuwa ni wananchi wa JMT...
Kimsingi katiba ina mapungufu mengi katika kila setka hapa nchini!
watanganyika ambao hatuna hata uhuru wa ndani kama wazanzibar tusemeje?Wazanzibar wanakandamizwa sana !
Yes indeed...Ni rais wa tff si mwenyekit
Hawajakidhi vigezo.. Hili halina uhusiano na Tanganyika